Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Yaani mzeya chips na soda tuu imekunyima mbususu ya single maza...wanajua kugegedana wewe masingle maza
 
Wiki Mbona ndefu Sana,

Niliwai kua na mahusiano na binti mmoja ndani ya usiku mmoja tu wa party ya harusi (saa 3 usiku mpk saa 7 usiku).

Kesho yake asbh saa 4 tunakusanya maturubai, yakafa rasmi
 
Mimi nilimpata demu, siku namtoa out ili tuongee vzr na kuweka mikakati ya mahusiano yetu akachagua bia kama kinywaji chake. Japo sipendi walevi nikamkubalia tu. Tukala fresh na kupiga stori sana. Tukapanga siku ya kucheki afya zetu.

Siku yenyewe nimefika kituo cha kupimia muda tuliokubaliana sikumkuta. Nimekaa nusu saa haonekani, nampigia simu anasema yuko njiani. Alifika baada ya saa nzima.

Anafika anaanza kuniuliza "Kwa nini ulichagua kupimia hapa?" Nikamjibu "Kwani kuna tatizo gani? Kuna ayekufahamu hutaki akuone?" Akakataa. Akauliza tena "Wewe hujampanga mpimaji kweli ili atoe matokeo yako ya uongo?" Nilishangaa sana kwa swali hili. Nikamjibu "Hapana". Tukaingia kupima lakini namuona kama kakubali shingo-upande. Matokeo yakawa mazuri kwetu wote.

Sasa baada ya kuona ni mtu wa mashaka mashaka, kisirani hivi na hajali muda nikaamua kupiga chin mazimai. Ujinga mtupu!
 
Wiki Mbona ndefu Sana,

Niliwai kua na mahusiano na binti mmoja ndani ya usiku mmoja tu wa party ya harusi (saa 3 usiku mpk saa 7 usiku).

Kesho yake asbh saa 4 tunakusanya maturubai, yakafa rasmi
Hahaha binamu hiyo ilikuwa ajali tu bwana... a.k.a one night stand
 
We nae hukumpenda dada wa watuu
 
juzi tu nimeomba namba nkapewa tukachat kidogo akasema my gas imeishaa hapa yani hata sielewi nafanyajee.... na mimi msg zikaishaaa ghafla na simu sikupokea tenaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Dahh
Wanaume bwana...ila utamu wake uliutaka?
 
Mi Kuna demu nilikutana naye siku ya kwanzanikamtongoza,siku ya pili nikamwomba mzigo akaja gheto kwangu nikapiga show.
Baada ya show nikamsindikiza kwao ila usiku wa hiyo siku akawa ananipigia misimu miingi eti tuongee wakati mi mwenyewe sijazoea kuongea ongea kwenye simu.Nikamlambisha block.Tangia hiyo siku sijawahi kutana naye Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…