Mahusiano mafupi kuliko yote ushawahi kuwa nayo

Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona watu mnasimulia mlivyotongoza na kukataliwa (au kupotezea baada ya kupigwa vizinga). Hayo sio mahusiano. Mahusiano ni mpaka ule mzigo.

Mie mahusiano mafupi huwa ni yale ya nikiwa safarini. Unakuta umeenda mkoa fulani (au hata nchi fulani) unatongoza demu anakubali basi ukiondoka na mahusiano ndo yameisha. Maana hapo kinachofuata ni demu kupiga vizinga wakati anajijua kabisa hamuwezi kuonana.

Kuna mwingine nilikutana naye kwenye basi, halafu basi likaharibika usiku wa saa nne. Tukafika mwisho wa safari mida ya saa sita usiku, magari ya kuunganisha kwenda nyumbani kwao kabisa hayapo tena. Basi hapo nikamvuta kilaini kwamba tukalale wote guest hatufanyi kitu.

Kufika chumbani kitanda kimoja tumeoga tukala basi ile kwenye kula uchokoziuchokozi wa kulishana mtoto kaelewa somo tukapiga shoo ya kulalia. Asubuhi ilibidi kugongewa saa nne na wahudumu kuwa muda umeisha nikawaomba wanipe masaa mawili ya nyongeza maana mtoto alikuwa mtamu kinoma.

Tulivyoachana hapo guest mchana yeye akaenda kwao ndo mpaka leo hatujaonana tena na mawasiliano yashapotea.

Yalikuwa ni mahusiano yaliyodumu kwa masaa nane tu.
 
Hahaha aling'ang'ana kwenda kwaya me nkamwambia asiende namhitaj mda huo. Nlijua kabisa ataenda ...aliporudi akakutana na kibuti saaafii
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Mungu anakuaona................
 
🀣 ila wanaume na hiyo kauli yenu ya sitofanya kitu kabisa huwa inaniacha hoi
 
Bora umetupatia somo
Hope wamekusikia
 
Mie siku mbili tu jamani, Jamaa yule alikua anapiga simu kama customer care. Alafu cha maana hakuna..mara umekula, unafanyaje, nimekumiss mfyuu ila si kosa lake alikua jobless yaan wanaume fanyeni kazi hata kama kuzibua choo wacheni ubishoo.
Tukifanya kazi za kuzibua vyoo mtatukubali?
 
kama una hela ukiombwa laki n ammekutana leo unatumaa tuu
 
Eeeh acha tu nlimpemda beki tatu bwana mapenzi yalipoanza kunoga si bosi wake akajua aisee akakafukuza kimya kimya na kukapokonya sim ko hakajawahi patikana tena mwaka sasa
 
Ko kiufupi yalidumu wiki moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…