Lengo la kuchukua namba ni lipi? Au unataka kujenga nae undugu? Kwasababu km ni mahusiano & you want s'thing from Her...then ProvideKuna demu nimechukua namba yake kama siku tata hivi, leo amenipigia simu na kuniomba 10k eti anasema akasuke! Hapo kuna mahusiano kweli?
Tayali ninaoKama unahitaji unishirikishe
We unahusika vipi na usafi wa mwingine?Hivyo viungo havioshwi? Havivalishwi? Havipakwi mafuta?
Wewe kijana ni jeuriWe unahusika vipi na usafi wa mwingine?
Inatafakarisha sanaUko na mwanamke, kuja kwako anaomba nauli, vocha, salon, yaani ni kama vile akiona simu yako ameona UN
Huyo si mwanamke wa kuwa nae ni omba omba
Ukiamua kuwa nae sacrifice yourself...otherwise mwache, tafuta wa low cost😜Uko na mwanamke, kuja kwako anaomba nauli, vocha, salon, yaani ni kama vile akiona simu yako ameona UN
Huyo si mwanamke wa kuwa nae ni omba omba
Amekufanya wewe ni fursaKuna demu nimechukua namba yake kama siku tata hivi, leo amenipigia simu na kuniomba 10k eti anasema akasuke! Hapo kuna mahusiano kweli?
Kama unapenda ile kitu yake muhudumie akae vizuri, mnunulie pants, mafuta, chakula n.k....u ll never find a free woman in this planetWe unahusika vipi na usafi wa mwingine?
Hayo sio mapenzi, ni biashara.Kuna Mwanamke yeyote unayedhani utampata na asiwe na mahitaji yanayohitaji pesa zako?
Hapo ni kukaribisha umasikini wakujitakia.Unakuwa na mwanamke hata vocha ya Shilingi elfu Moja anunue sms za mwezi mzima Hana 🤔
Sio kweli, sorry to askHayo sio mapenzi, ni biashara.
Hutaki kuwasaidia au huna cha kuwasaidia?Unachokisema ni kweli kabisa lakini hawa vijana siwezi kuwasaidia kwa maana mimi si bwana yesu.
Hutaki chotara ya kijerumani wewe?Tayali ninao
Muwarekebishe hawa wadogo zenu😅 wageni mchezoni! Mapovu kutwa kukicha!Waache vijana watoe gesi, watoe ya moyoni msiwadhihaki.....kuna namna wanajitafuta kimapenzi, kwa sisi wakongwe tunajua wanakosea wapi.
Hebu tuoneHutaki chotara ya kijerumani wewe?
Hawapo.Kwa sasa kupata demu wa bure ni ngumu sana