Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela



Kwenye uhusiano pesa ndio ikiwa kipaumbele basi hiyo inakua ni biashara ya mapenzi.

Kwenye uhusiano kulaumiana na kulalamikiana kukiwa kwingi hiyo ina kua ni maigizo, tamthilia na riwaya.

Kwenye uhusiano kukiwa na kusthakiana kwenye public mara mtu wangu yuko hivi au vile, ujue hapo hakuna uhusiano ni KIKI.
 
Binadamu ni Utu na kazi sasa hapo utajiongeza. Au njoo kwangu nina kazi nzuri tu na senti ya kukupa ninazo. Mwanamke na hela ni sawa na Shetani na dhambi.
 
Usipoteze muda maisha ni sasa piga chini hilo fukara
 
Mumeo ni dereva mzembe huyo, madereva hua tunakula maisha asikwambie wengine Hadi kumiliki yakwetu wenyewe, in short jama Ako ni mkulima anae chagua jembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…