Maisha halisi nchini Marekani

Naona unaweweseka na hilo jina Da Vinci, ila ukweli ndio huo bwashee, wewe tumia tu jina la Da Vinci haimaanishi kwamba na wewe unapakuliwa.
 
Mtoa mada nakuamini kwa % kubwa. Laiini naomba kuongezea kwenye post hii, wale walioandamana mbele ya samia hapa juzi kati mbona wako vile?!!!! Au ndo hau wasiojifunza kiingereza?!!!
 
Classmates wangu alifariki USA tumechanga milioni 40 kumsafirisha hadi kufika Mwanza, kidogo azikwe USA watu tukasema anazikwa bongo wabongo na diaspora tukapambana hadi zikafika milioni 40.Amezikwa Mwanza.
 
Wengi wao wanaonekana wako hoi!

Hili suala la kupigana risasi mara kwa mara linachangiwa na nini? Nilifikiri ni shida za kiuchumi pia.
Kwahiyo unataka kutuaminisha Marekani kuna tatizo la lishe? Au unamaanisha nini?

Hivi wewe ukikutana na Mark Zucker wa Facebook mitaa ya posta si ndio utasema kajichokea?

Ulitegemea uwaone wabongo wametundika micheni shingoni kama Diamond?
 
umeongea kitu kikubwa sana
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha Marekani kuna tatizo la lishe? Au unamaanisha nini?

Hivi wewe ukikutana na Mark Zucker wa Facebook mitaa ya posta si ndio utasema kajichokea?

Ulitegemea uwaone wabongo wametundika micheni shingoni kama Diamond?
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mtoa mada nakuamini kwa % kubwa. Laiini naomba kuongezea kwenye post hii, wale walioandamana mbele ya samia hapa juzi kati mbona wako vile?!!!! Au ndo hau wasiojifunza kiingereza?!!!

Wako vipi mkuu maliza
 
Classmates wangu alifariki USA tumechanga milioni 40 kumsafirisha hadi kufika Mwanza, kidogo azikwe USA watu tukasema anazikwa bongo wabongo na diaspora tukapambana hadi zikafika milioni 40.Amezikwa Mwanza.
Kusafirisha maiti maana yake unasafirisha mzigo human remaining body, sasa milioni 40 mlikuwa mnasafirisha mzigo gani? Au kuna wajanja walipiga hizo ela?
 
Wengi wao wanaonekana wako hoi!

Hili suala la kupigana risasi mara kwa mara linachangiwa na nini? Nilifikiri ni shida za kiuchumi pia.

Hapana life styel ya wamarekani hata katika muoneka wako simple.

Swala la risasi liko sana kwa watu weusi ila huwa ni bangi sana. wengi wao wanatabia ya kutumia bangi, madawa na aina zingine za vilevyi so huwa inawasumbua mpaka inawaletea madhara, wao kutumia bang ni hasira za kupamba na utumwa ndomana unawaona huwa ni watu wa asira sana.

asilimia kubwa bang wanatumia, sigara ndo hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…