Maisha halisi nchini Marekani

Maisha halisi nchini Marekani

Leonardo Da'Vinci ndio nwanasayansi niliyemsona na kumfuatilia zaidi ila sijawahi kuona uthibitisho wa hilo...

It's just a Rumour.Hakuna kitu kama hicho Caesar Borgia na Leonardo waliCross path pindi Leo alipoajiliwa na Borgia as an architect. Karibia 80% ya Genius wote hua hawajihusishi na mapenzi ya aina yoyote so ukaribu wa leo na mwajiri wake inawezekana ndio uliofanya watu wazushe kwamba ni wapenzi since Vinci hajawahi kuonekana na mahusiano ya kimapenzi na Mwanamke.

Ni kama vile watu wanavyosema Yesu alikua na mahusiano na Maria Magdalene jambo ambalo sio kweli na mimi nishatazama documentary kuhusu jambo hilo ila halina uthibitisho dhahiri..

Hata huo ushoga wa juma lokole mimi siujui maana hakuna uthibitisho dhahiri juu ya hilo.

Huwezi kujua kwakua sio swala la ukweli. Na halina uthibitisho it's just a speculation.
Naona unaweweseka na hilo jina Da Vinci, ila ukweli ndio huo bwashee, wewe tumia tu jina la Da Vinci haimaanishi kwamba na wewe unapakuliwa.
 
Hivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!

Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.
Mtoa mada nakuamini kwa % kubwa. Laiini naomba kuongezea kwenye post hii, wale walioandamana mbele ya samia hapa juzi kati mbona wako vile?!!!! Au ndo hau wasiojifunza kiingereza?!!!
 
Classmates wangu alifariki USA tumechanga milioni 40 kumsafirisha hadi kufika Mwanza, kidogo azikwe USA watu tukasema anazikwa bongo wabongo na diaspora tukapambana hadi zikafika milioni 40.Amezikwa Mwanza.
 
Wengi wao wanaonekana wako hoi!

Hili suala la kupigana risasi mara kwa mara linachangiwa na nini? Nilifikiri ni shida za kiuchumi pia.
Kwahiyo unataka kutuaminisha Marekani kuna tatizo la lishe? Au unamaanisha nini?

Hivi wewe ukikutana na Mark Zucker wa Facebook mitaa ya posta si ndio utasema kajichokea?

Ulitegemea uwaone wabongo wametundika micheni shingoni kama Diamond?
 
Wengi hawajui mpaka sasa hii dunia inamilikiwa na nani.

Obama kwenye kampeni zake za Urais aliposema anaunga mkono ushoga si mjinga anajuwa alichokuwa anahitaji.

Mark mmiliki wa Facebook na kampuni la Meta anaunga mkono ushoga, kumbuka hawa ni watu wenye akili kubwa wanaijuwa hii dunia.

Tundu Lisu alibanwa kuhusu hoja ya ushoga akaruka kimanga na kuijibu kisheria kwamba hawezi kuingilia faragha za watu, yani maana yake huwezi kuwapinga mashoga.

Kama Taifa kwenye mikataba mbalimbali ni lazima usaini mkataba wa haki za binadamu, ukisaini maana yake hata mashoga ni binadamu na wana haki zao.

Mtoto mdogo kama Makonda asiyekuwa na elimu yoyote akapigana vita asiyojuwa anapambana na nani, matokeo yake leo hao wenye nguvu ndio ilibidi wampe hifadhi ulaya au Marekani lakini hatakiwi amepigwa ban, alikuwa anashindana na nguvu asizozijuwa.

Na wabongo wengi hawana elimu kwamba shoga ni hata yule basha anayempelekea moto mwenzake naye anaitwa shoga wote hawa ni gays, hapa ndipo Wabongo wengi panawachanganya hawaelewi.
umeongea kitu kikubwa sana
 
Kwahiyo unataka kutuaminisha Marekani kuna tatizo la lishe? Au unamaanisha nini?

Hivi wewe ukikutana na Mark Zucker wa Facebook mitaa ya posta si ndio utasema kajichokea?

Ulitegemea uwaone wabongo wametundika micheni shingoni kama Diamond?
😆😆😆
 
Mtoa mada nakuamini kwa % kubwa. Laiini naomba kuongezea kwenye post hii, wale walioandamana mbele ya samia hapa juzi kati mbona wako vile?!!!! Au ndo hau wasiojifunza kiingereza?!!!

Wako vipi mkuu maliza
 
Classmates wangu alifariki USA tumechanga milioni 40 kumsafirisha hadi kufika Mwanza, kidogo azikwe USA watu tukasema anazikwa bongo wabongo na diaspora tukapambana hadi zikafika milioni 40.Amezikwa Mwanza.
Kusafirisha maiti maana yake unasafirisha mzigo human remaining body, sasa milioni 40 mlikuwa mnasafirisha mzigo gani? Au kuna wajanja walipiga hizo ela?
 
Wengi wao wanaonekana wako hoi!

Hili suala la kupigana risasi mara kwa mara linachangiwa na nini? Nilifikiri ni shida za kiuchumi pia.

Hapana life styel ya wamarekani hata katika muoneka wako simple.

Swala la risasi liko sana kwa watu weusi ila huwa ni bangi sana. wengi wao wanatabia ya kutumia bangi, madawa na aina zingine za vilevyi so huwa inawasumbua mpaka inawaletea madhara, wao kutumia bang ni hasira za kupamba na utumwa ndomana unawaona huwa ni watu wa asira sana.

asilimia kubwa bang wanatumia, sigara ndo hasa
 
Back
Top Bottom