Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kujua kuna tofautianaSouth Africa unaijuwa au umehadithiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujua kuna tofautianaSouth Africa unaijuwa au umehadithiwa?
Naona unaweweseka na hilo jina Da Vinci, ila ukweli ndio huo bwashee, wewe tumia tu jina la Da Vinci haimaanishi kwamba na wewe unapakuliwa.Leonardo Da'Vinci ndio nwanasayansi niliyemsona na kumfuatilia zaidi ila sijawahi kuona uthibitisho wa hilo...
It's just a Rumour.Hakuna kitu kama hicho Caesar Borgia na Leonardo waliCross path pindi Leo alipoajiliwa na Borgia as an architect. Karibia 80% ya Genius wote hua hawajihusishi na mapenzi ya aina yoyote so ukaribu wa leo na mwajiri wake inawezekana ndio uliofanya watu wazushe kwamba ni wapenzi since Vinci hajawahi kuonekana na mahusiano ya kimapenzi na Mwanamke.
Ni kama vile watu wanavyosema Yesu alikua na mahusiano na Maria Magdalene jambo ambalo sio kweli na mimi nishatazama documentary kuhusu jambo hilo ila halina uthibitisho dhahiri..
Hata huo ushoga wa juma lokole mimi siujui maana hakuna uthibitisho dhahiri juu ya hilo.
Huwezi kujua kwakua sio swala la ukweli. Na halina uthibitisho it's just a speculation.
Mtoa mada nakuamini kwa % kubwa. Laiini naomba kuongezea kwenye post hii, wale walioandamana mbele ya samia hapa juzi kati mbona wako vile?!!!! Au ndo hau wasiojifunza kiingereza?!!!Hivi mbona mmoja wenu huko akifariki huko Kusafirisha Mwili tu huwa ni Shughuli Pevu.?
Bakuli La michango linatuhusu mpaka huku Kwa Mtogole.!
Halafu Mkifiwa na Mzazi Utasikia Mtoto Kashindwa Nauli Kuja Kumzika Mzazi Wake..! Hivi Diaspora Tuelezeni shida nini?
Mi mwenyewe nilitaka Kuja kuwa Diaspora ila ninachokishuhudia Kinachowatokea huko nimeghairi..!
Katika Diaspora 20 ni Wawili au Watatu ndo Wanatoboa.
Ungekuwa unajuwa huwezi kumshauri Mtanzania mwenzako akafanye kazi ya security.Kujua kuna tofautiana
Haya ndo maneno mkuu, mtu unaandika kitu na kutafuta cha kushindikizia kile ulichoandika. Sio mtu unaleta mada bila hata picha mbili tatu, watu wataamini vipi, na ukizingatia siku hizi watu wanachakazwa kwa vistori vidogo vidogo kama hivi.
Ulitaka uwaone vipi? Kama Jay zee au Snoop Dogy?Mtoa mada nakuamini kwa % kubwa. Laiini naomba kuongezea kwenye post hii, wale walioandamana mbele ya samia hapa juzi kati mbona wako vile?!!!! Au ndo hau wasiojifunza kiingereza?!!!
Unafanya kwa temporary ukisikilizia michongo mipya.Hofu yako ni high risk ya death.Ungekuwa unajuwa huwezi kumshauri Mtanzania mwenzako akafanye kazi ya security.
Wengi wao wanaonekana wako hoi!Ulitaka uwaone vipi? Kama Jay zee au Snoop Dogy?
Ya kweli mkuu, lakini kwa mtu anaejua picha ni rahisi sana kufahamu picha za kupigwa na zile za kudownload. We chunguza vizuri utanambia.Picha za kudownload zipo tele
Ile ni nchi ya kwenda kuishi na siyo kutafuta maisha.Unafanya kwa temporary ukisikilizia michongo mipya.Hofu yako ni high risk ya death.
Kwahiyo unataka kutuaminisha Marekani kuna tatizo la lishe? Au unamaanisha nini?Wengi wao wanaonekana wako hoi!
Hili suala la kupigana risasi mara kwa mara linachangiwa na nini? Nilifikiri ni shida za kiuchumi pia.
umeongea kitu kikubwa sanaWengi hawajui mpaka sasa hii dunia inamilikiwa na nani.
Obama kwenye kampeni zake za Urais aliposema anaunga mkono ushoga si mjinga anajuwa alichokuwa anahitaji.
Mark mmiliki wa Facebook na kampuni la Meta anaunga mkono ushoga, kumbuka hawa ni watu wenye akili kubwa wanaijuwa hii dunia.
Tundu Lisu alibanwa kuhusu hoja ya ushoga akaruka kimanga na kuijibu kisheria kwamba hawezi kuingilia faragha za watu, yani maana yake huwezi kuwapinga mashoga.
Kama Taifa kwenye mikataba mbalimbali ni lazima usaini mkataba wa haki za binadamu, ukisaini maana yake hata mashoga ni binadamu na wana haki zao.
Mtoto mdogo kama Makonda asiyekuwa na elimu yoyote akapigana vita asiyojuwa anapambana na nani, matokeo yake leo hao wenye nguvu ndio ilibidi wampe hifadhi ulaya au Marekani lakini hatakiwi amepigwa ban, alikuwa anashindana na nguvu asizozijuwa.
Na wabongo wengi hawana elimu kwamba shoga ni hata yule basha anayempelekea moto mwenzake naye anaitwa shoga wote hawa ni gays, hapa ndipo Wabongo wengi panawachanganya hawaelewi.
😆😆😆Kwahiyo unataka kutuaminisha Marekani kuna tatizo la lishe? Au unamaanisha nini?
Hivi wewe ukikutana na Mark Zucker wa Facebook mitaa ya posta si ndio utasema kajichokea?
Ulitegemea uwaone wabongo wametundika micheni shingoni kama Diamond?
Kusafirisha maiti maana yake unasafirisha mzigo human remaining body, sasa milioni 40 mlikuwa mnasafirisha mzigo gani? Au kuna wajanja walipiga hizo ela?Classmates wangu alifariki USA tumechanga milioni 40 kumsafirisha hadi kufika Mwanza, kidogo azikwe USA watu tukasema anazikwa bongo wabongo na diaspora tukapambana hadi zikafika milioni 40.Amezikwa Mwanza.
Wengi wao wanaonekana wako hoi!
Hili suala la kupigana risasi mara kwa mara linachangiwa na nini? Nilifikiri ni shida za kiuchumi pia.