African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Unamjua aliyeandika bibilia? Je alipata wapi hayo maandiko mpaka akaiandika bibilia. Nijibu nikupe mwangazaBible haijaandikwa kama gazeti la mwanahalisi ni mafundisho ya jinsi mwanadamu mkamilifu anatakiwa aishi. Kuna mambo Yesu aliyasema kama mwanadamu kama lengo lake la kuja duniani so inabidi uelew muktadha. Lakini kuna mambo aliyasema kama Mungu usichanganye hapo.
Hakuandika mtu mmoja na hata waandishi halisi hakuwa mtu mmoja.Unamjua aliyeandika bibilia? Je alipata wapi hayo maandiko mpaka akaiandika bibilia. Nijibu nikupe mwangaza
Ni kweli kwa baadhi uliyoyasema hapo juu.....Bible haijaandikwa kama gazeti la mwanahalisi ni mafundisho ya jinsi mwanadamu mkamilifu anatakiwa aishi. Kuna mambo Yesu aliyasema kama mwanadamu kama lengo lake la kuja duniani so inabidi uelew muktadha. Lakini kuna mambo aliyasema kama Mungu usichanganye hapo.
Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.Hakuandika mtu mmoja na hata waandishi halisi hakuwa mtu mmoja.
Bible ni context na sio majina. Kutokea mwanzo mpaka ufunuo zinatajwa nafsi tatu za Mungu. Na utendaji wa binadamu wenyewe tu una nafsi tatu na sisi ni mifano ya Mungu. So unaposema ulianzishwa unakuwa hujaeleweka ndugu.Ni kweli kwa baadhi uliyoyasema hapo juu.....
Unajua ni lini utatu kama imani ulianza katika mafundisho ?!!!
"source" katika nini ?!!!Source: ??? Au umejitungia tu. Utampendaje Mungu bila ya kumtii na kuachana na makatazo yake. Au unaleta double standards hapa
Na Muhammad aliposema kuwa mwezi unazama topeni nayo ni kweli?Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.
Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
Mkuu lakini vifungu ndiyo "foundation ya dini"....ni sawa na vifungu vya katiba ya nchi....yupi awezaye kutaka kuchambua sheria za nchi akaitupa mgongoni katiba?!!!Vifungu vinakusaidia nini vifungu vinakufanya usiamshe ubongo waKo kufikiri zaidi
Ni Quran imeandika kuwa mwezi unazama topeni ?!!!!Na Muhammad aliposema kuwa mwezi unazama topeni nayo ni kweli?
Lete aya inayosema mwezi unazama topeniNa Muhammad aliposema kuwa mwezi unazama topeni nayo ni kweli?
Alete aya kwanza sio anaongea maneno matupuNi Quran imeandika kuwa mwezi unazama topeni ?!!!!
Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka pua.Hata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.
Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
Sawa.....Bible ni context na sio majina. Kutokea mwanzo mpaka ufunuo zinatajwa nafsi tatu za Mungu. Na utendaji wa binadamu wenyewe tu una nafsi tatu na sisi ni mifano ya Mungu. So unaposema ulianzishwa unakuwa hujaeleweka ndugu.
Mungu ni mmoja tu hakuna cha nafsi tatu acha kumshirikisha Mwenyezi Mungu unakufuruBible ni context na sio majina. Kutokea mwanzo mpaka ufunuo zinatajwa nafsi tatu za Mungu. Na utendaji wa binadamu wenyewe tu una nafsi tatu na sisi ni mifano ya Mungu. So unaposema ulianzishwa unakuwa hujaeleweka ndugu.
Sawa na kwanini bible iseme dunia ni flat. Ambapo quran inasema dunia ni duara.Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka pua.
Kama utasoma mawazo yako bila makengeza na unazi, utagundua unapopotea. Unaposema hija siyo lazima lakini ni nguzo ya uislam, unamaanisha nini? Ni daraja gani linaweza kusimama bila nguzo mojawapo? Naona umeamua kutetea ujinga na udini uchwara. Hakuna dini unayoweza kuitetea. Uislam aka uarabu hauna tofauti na ukristo. Ungejua uislam umekopi na kupaste toka ukristo wala usingeandika uliyoandika. Angalia hata hiyo kuran. Kila kitu ni biblia isipokuwa ngano na visa vya muhammad. Kwa taarifa yako nimeuosoma hata saa nyingine kuliko wewe. Nimesoma hadi ilm ghaib na vitabu vyake vingi. Ukiulinganisha uislam na ukristo ni ndugu wa baba na mama mmoja. Ndiyo maana waislam wanaambiwa walio karibu nao sana ni wakristo. Umekopi kila kitu cha ukristo. Angalia ukoloni wa kupandikiza watu majina ya kigeni au kung'ang'ania lugha za kigeni. Wakristo mwanzoni walikuwa kama nyinyi. Kila kitu kilipaswa kuwa kwenye kilatini ili kuendelea kuwafanya waumini wajinga na mbumbumbu. Wote wana asilil moja, mashariki ya kati na wote ni waarabu. Wanaongea lugha moja. Hebu jiulize tofauti ya Shalom na Assalaam alaykum. Wote wana sehemu moja takatifu yaani Jerusalem ambako eti muhammad alitokea kwenda mbinguni wakati alikuwa hajawahi hata kufika kule. Wote wana historia za ugaidi. Wote ni wauaji. Walimuua Yesu huku waislam wakiuana wao kwa wao bila kusahau mauaji ya Sayddina Ali mkwe wa mtume wenu. Wote ni waongo na wabaguzi dhidi ya waafrika. Nenda mikoa ya Pwani uone wanavyooa mabinti wa kiafrika na wakizaa mabinti wanawakimbizia mashariki ya kati kuwa watumwa na vyangudoa. Tafuta nani wa kwanza kufanya ugaidi duniani kama siyo wao. Nakushauri jisomee japo kidogo ili uweze kutoa hoja.Sidhani kama unajua unachokiandika hapa.
Uislam hauna walaji hilo la kwanza. Waislam hawalazimishwi kutoa sadaka msikitini na hata wakitoa hakuna pesa inayopatikana itakayomfanya mtu aneemeke bali ni vipesa tu vya kuendesha msikiti ndo mana mashekhe hawatembelei mabenzi kama wachungaji wanavyowakamua kondoo.
Kwenda kuhiji makka sio amri ya lazima. Bali ni nguzo muhimu ya dini inayoweza kutekelezwa na mtu mwenye uwezo wa kwenda kuhiji. Kama huna uwezo haikulazimu uende.
Nakushauri tu kabla ya kuuponda uislam, jaribu kuusoma kwanza mafundisho yake na jinsi unavyo operate ndio uje kuongea hapa sio unasambaza taarifa zisizo na ukweli
Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka puaHata wangeandika watu 100. The point is bible imekusanya taarifa zisizo na ukweli.
Nakupa mfano mmoja. Genesis 1:16-19, inatuambia kwamba Mwezi unatengeneza mwanga wake wenyewe. Ambapo Qur'an 25:61, inasema Mwanga wa mwezi ni reflected light.
Hio ni miaka 1400+ iliyopitaJe Muhammad angejuaje yote hayo kama hajaambiwa na Mwenyezi Mungu.
Exactly. Na ndo maan Yesu alivokuwa akizungimza nao kwenye masinagogi yao hawakumuelewa mpaka wakaja kumsulubu. Na sio kwamba hawaelewi ila ego iliwaponza sababu Yesu alizaliwa masikini na wayahudi walijitengezea false idols matajri wa wakati huo so hata mwana wa Mungu walitaka awe tajiri kweli kweli.Sawa.....
Mwanzo mpaka ufunuo unawahusu pia wayahudi....katika HEBREW BIBLE pia yapo....je wayahudi wanaamini nafsi 3 za Mungu ?!!!
Kama hawaamini...ina maana wayahudi hawakukielewa kitabu chao zaidi yako wewe na wagiriki?!!!
Ina maana akina Joshua walikufa bila kuelewa kuwa Mungu aliwaeleza kuhusu nafsi zake 3?!!!
Ina maana wayahudi wa leo(wajinga na wasomi wao) bado hawaelewi kabisa maandiko yao yenye kuzitaja hizo nafsi 3 ?!!!
Wewe ndo unaekufuru unamuona Mungu kama kinyago fulani hivi hawezi kutenda kwa anayoamua kutenda.Mungu ni mmoja tu hakuna cha nafsi tatu acha kumshirikisha Mwenyezi Mungu unakufuru
Mbona kuna vifungu vingi vimeonesha quran nd ina assume kuwa dunia ni flat. Tena kuna sehem inachanganya inasema alitangulia kuumba mbingu ikaja dunia na kuna sehem inasema ilitangulia dunia ikaja mbingu.Sawa na kwanini bible iseme dunia ni flat. Ambapo quran inasema dunia ni duara
Kisomi kabisa....Hapa umeongopa kidogo mkuu bible imeelezea juu juu kuhusu mianga hyo wewe ulichotofautisha ni operation na kilichoandikwa. Kwani Mungu alivosema naweka pumzi kwa mwanadamu kuna sehem ameweka mfumo wa upumuaji unavyofanya kazi? Ko akisema nimeumba pumzi unataka iwepo tu na sio kupitia mfumo wa kutoka mapafu mpaka pua.