Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Alikuwa mwarabu...ama Nabataen...alibadilisha dini na kuwa na dini ya kiyahudi....Nambie kwanza herode alikuwa myahudi au sio myahudi?
Alio akiwa na miaka 9 sio 6 kama anavosema huyo jamaa. Pia kwa miaka hiyo waschana waliwahi kuvunja ungo na maumbile yao yalikuwa ni makubwa sio kama watoto wa kisasaMkuu....
Genesis 1:28
Wayahudi walikuwa wanaoana kuanzia kupevuka(12 mpaka 15 kwa wasichana)....
Je una reference kuwa Muhammad alimuoa binti wa miaka 6 na akaanza kukutana naye kimwili kipindi hicho ama alimsubiri apevuke?!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Christianity ilikuwepo tangu 1st century na Islam ilikuja sana in 7th century, kwa hiyo unaweza kuona hiyo knowledge ilikuwepo tayari so sioni ajabu kama uislam walipatia, halafu nyie mnajua dunia ipo billions of years leo mnataka kutuambia vitabu na hadithi zisizo na kiaka hata 1000 ndio neno la mungu na kila kitu na asiyeamini ni moto
Ushahidi gani unaoutaka?!!![emoji15][emoji15]Yaani mtu kapanda mlimani karudi na vipande vya mawe eti vimeandikwa amri 10, akasema zimetoka kwa mungu na nyie mnakubali na hakuna ushahidi wowote, ngano za Biblia sometimes nacheka sana
[emoji1787]Umeona mambo hayo sasa nd ambayo shetani amewafunga. Unaacha kujadili hayo yaliyoletwa wewe unajadili jinsi yalivyoletwa aisee. Tuambia kuiba ni vizuri au sio vizuri? Uzinzi na uasherati unafaa? Je kuabudu sanamu kwafaa? Je kuua kwafaa? Je kumzema jirani yako uongo kwafaa? Je kumtamani mke wa jirani yako kwafaa? Kutopumzika baad ya kazi za siku sita kwafaa? Je kutomuheshimu baba yako na mama yako kwafaa? We unakuja sijui na mambi ya mawe hayo hayakuhusu yaliwahusu wao.
Vifungu vipo vinaonesha alikuwa hadi anaoga nae.Mkuu....
Genesis 1:28
Wayahudi walikuwa wanaoana kuanzia kupevuka(12 mpaka 15 kwa wasichana)....
Je una reference kuwa Muhammad alimuoa binti wa miaka 6 na akaanza kukutana naye kimwili kipindi hicho ama alimsubiri apevuke?!!!
Dunia kuwa na billions of years sio shida maana kwenye Qur'an tunaambiwa sisi sio viumbe wa kwanza kuletwa duniani, vipo viumbe vilivyopita. Qur'an imetutajia kiumbe jini ambaye alianza kuishi kabla yetu hapa duniani.Christianity ilikuwepo tangu 1st century na Islam ilikuja sana in 7th century, kwa hiyo unaweza kuona hiyo knowledge ilikuwepo tayari so sioni ajabu kama uislam walipatia, halafu nyie mnajua dunia ipo billions of years leo mnataka kutuambia vitabu na hadithi zisizo na kiaka hata 1000 ndio neno la mungu na kila kitu na asiyeamini ni moto
Okay sawa. Lakini unajua kuwa pilato alipoambiwa amhukumu Yesu alikataa akasema kuwa mtu huyu hana kosa na akanawa mikono na akasema kuwa hukumu hii iwe juu yenu( je hapa walizungumziwa watu gani)Alikuwa mwarabu...ama Nabataen...alibadilisha dini na kuwa na dini ya kiyahudi....
Uyahudi ni "ethnic"...
Uyahudi ni dini pia....
Alikuwa ni mfalme aliyekuwa na mahusiano na warumi....
[emoji1787][emoji1787]Vifungu vipo vinaonesha alikuwa hadi anaoga nae.
sasa kwahyo walikuwa wanaoga na kanzu full au? Haswa mke na mume?[emoji1787][emoji1787]
Sawa....
Unaweza kuniwekea hivyo vifungu?!!
Ni Quran ?
Huko kuoga kulianza walipofunga tu ndoa?!
Kama ndivyo...kuoga ni lazima kuhusishe "uchi" wa nyama ?!!!
Una ushahidi kuwa warabu ndivyo walikuwa wakioga uchi wa nyama?!![emoji1787]
Usipoteze mada. Turudi kule kwenye ukweli wa bibilia na Quransasa kwahyo walikuwa wanaoga na kanzu full au? Haswa mke na mume?
Ukitumia historia nimekwambia siko huko mimi kwa maan dini ni imani na sio vitabu vya historia. Na kwenye imani nd kama hayo wengine mmeruhusiwa vitu ambavyo kwa wakristo ni zinaa na uasherati.Usipoteze mada. Turudi kule kwenye ukweli wa bibilia na Quran
Well ...Okay sawa. Lakini unajua kuwa pilato alipoambiwa amhukumu Yesu alikataa akasema kuwa mtu huyu hana kosa na akanawa mikono na akasema kuwa hukumu hii iwe juu yenu( je hapa walizungumziwa watu gani)
Usijumuishe dini zote. Kwa sisi waislam Qur'an ndo muongozo wetu. Yani ndo iko mbele inatuongoza halafu ndo wanafuatia viongozi wa diniUkitumia historia nimekwambia siko huko mimi kwa maan dini ni imani na sio vitabu vya historia. Na kwenye imani nd kama hayo wengine mmeruhusiwa vitu ambavyo kwa wakristo ni zinaa na uasherati.
Hapana sio kweli sababu Yesu alikuwa anasali kwenye masinagogi ya wayahudi. Kuna kesi herode alipelekew ana watu wa dini kwa mfano Yesu kuwa ni mfalme wa wayahudi herode akaishia kucheka na kumpa adhabu za hapa na pale ila wayahudi walishinikiza serikali kuwa Yesu auwawe sababu anapotosha watu kuhusu imani.Well ...
Mkuu kwa watawala....inawezekana Pilate alitumia mbinu ya kuitakasa mikono yake ili isionekane USHIRIKA wake/dola yao katika hukumu hiyo.....
Kikubwa Yesu hakutajwa kuwa ni kitisho na wayahudi kwani walimuona ni myahudi mwenzao na makabrasha yanasema(walimuita Rabi-mwalimu wa dini)...bali Warumi walimuogopa(anakuja kuchukua ufalme wao) ilihali yeye hakuja kwa ajili ya ufalme wa duniani.....
Kwa MUKTADHA huu unaona jinsi wayahudi wasivyohusika...
Je umepata rejea kuwa wayahudi walikuwa wanawatundika wakosa wao katika misalaba?!!!
Hapo nd tujikite Je ni muongozo sahihi mbinguni kwenda kupewa bikra 72? Sio maswala sijui muhamad kweny pango alienda kufanya nini huo unakua kama utoto hivi.Usijumuishe dini zote. Kwa sisi waislam Qur'an ndo muongozo wetu. Yani ndo iko mbele inatuongoza halafu ndo wanafuatia viongozi wa dini
Kimantiki haiingii akilini uoge na "goma" ukiwa na kanzu [emoji1787][emoji1787]sasa kwahyo walikuwa wanaoga na kanzu full au? Haswa mke na mume?
Huyo mke wa Muhammad alianza kuishi nae kama mke na mume kabisa pika pakua kipindi ana miaka 9 mkuu yeye akiwa na miaka karibu 50 sijui 60 kabisa.Kimantiki haiingii akilini uoge na "goma" ukiwa na kanzu [emoji1787][emoji1787]
Afadhali wangekuwa wana "swimming pools" ukasema walivaa "vinguo"...
Lakini mkuu tukumbuke pia warabu+wayahudi wa zamani walikuwa na uzito sana kufanya mapenzi nje ya vitanda vyao....[emoji1787]
Je umenipatia "reference" kuwa alikutana naye kimwili kabla mke huyo hajapevuka?!
Nimefuatilia kuwa waarabu walikuwa na mwiko wa kuwaingilia wanawake wasiopevuka....
Well ...Hapana sio kweli sababu Yesu alikuwa anasali kwenye masinagogi ya wayahudi. Kuna kesi herode alipelekew ana watu wa dini kwa mfano Yesu kuwa ni mfalme wa wayahudi herode akaishia kucheka na kumpa adhabu za hapa na pale ila wayahudi walishinikiza serikali kuwa Yesu auwawe sababu anapotosha watu kuhusu imani.
Well....Huyo mke wa Muhammad alianza kuishi nae kama mke na mume kabisa pika pakua kipindi ana miaka 9 mkuu yeye akiwa na miaka karibu 50 sijui 60 kabisa.