Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwani hayo majini si yanaswali nayo au hujui?Sasa tuamini nini ushirikina una nguvu au dini ina nguvu,mana umeandika Jumbe alitoka kuswali na Bado mchawi akawa na nguvu dhidi ya dini na akavunjika mguu....???
Yes, ndicho nachofanya sasa hivi nimeachana nao kabisa. Nafanya yangu. Naelewa upo na nimeshapitia huko kote, kuwaza huo uchawi kwa vitu vingi maishani mwangu.Cha msingi kwanza elewa uchawi upo, ila achana nao Fanya yako.
Kuna stage ukiona mambo huyaelewi jiongeze.
Ukijifanya wewe ni mtu wa dini nakuhakikishia wapo wachungaji wanakwenda kwa waganga wa kienyeji, na upande wa masheikh ndio sina hata la kusema wao ndio mafundi wenyewe.
It's a mind game, wake up meditate & visualize you're there, Gari nyeusi, vioo vyeusi & roho nyeusi, wake up ulipokua mtoto hujawahi kukutana na jinamizi mkaba Koo?Uchawi ukishaamini upo, kosa la kwanza, kitu kikikutokea kosa la pili. Maisha yako yote utahangaika kwa waganga na kumaliza makanisa.
Lakini tujiulize, kuna watu wamefanikiwa sana je hao wachawi hawawaoni? Wanatuona sisi tu? Hawajaamini upande huo na wanaishi raha mstarehe.
Hii Elimu ni pana sana, ukiijua hutohangaika tena maishani na mauchawi.
Ni mind game km mazingaombwe, wafanya mazingaombwe wengi km wale wanaokula misumari na viwembe ni wachawi (magician) wanacheza na mind yako, usichokijua uchawi upo msikitini upo kanisani but in a good way not bad wayIla toka nimeelekezwa vizuri na si dini. Kuna makubwa sana ya kutisha niliyopitia, mtu anakwambie eeh hapo umeshachezewa. Namimi nikaamini hivyo. Ila kwasasa havina nafasi katika akili yangu. Navipotezea kama usemavyo.
Hussein Jumbe alikua anasimulia kwamba alikua anafukuzwa na KUKU KISHINGO huyo kuku akawa anamdonoa miguu, sasa yeye kwenye kutaka kumfukuza si akasema huyu kuku tu acha nimtie mashuti akaanza kumpiga kumbe masikini pale alipolala ni karibu na ukuta akaanza kubamiza mguu ukutani mpaka akavunja mfupa ndio anashtuka, kupata msaada kwenda hospitalMzee jamii zetu uchawi Wana ona dili
Katika nchi yenye watu wajinga wengi, masikini wengi, watu wengi wasio na matumaini na wanaopenda kutumia majibu rahisi, badala ya kuumiza akili na kupata majibu rahisi, uchawi ni lazima uwepo, mawazoni mwao.Uchawi upo acha kubisha Kiranga Komo hayajakukuta ukapigwa mashine moja ya ukumbusho gari zima chali umebaki wewe tu alafu hauna miguu yote miwili, ndio ujue uchawi upo
Wabongo hata ukiwachezea karata tatu, wasipoelea umefanyaje, watasema uchawi.Ni mind game km mazingaombwe, wafanya mazingaombwe wengi km wale wanaokula misumari na viwembe ni wachawi (magician) wanacheza na mind yako, usichokijua uchawi upo msikitini upo kanisani but in a good way not bad way
Upo mawazoni mwako, ndiyo maana hata nikikupa nafasi ya kuthibitisha huwezi.Mkuu usibishe , uchawi upo
Uchawi upo all over the world mkuu, na dunia nyingine unaonyeshwa waziwazi na wachawi wanashindanishwa jukwaani au hujawahi kuona ? Utofauti wa uchawi wa dunia nyingine na dunia uliyopo wewe 3rd world ni kwamba wao kwao wame-develop kuliko hao wa huko kwenu unaowaita masikini, Ila wachawi matajiri unao ni sawa kuroga Ila wao ni matajiri au sio?Katika nchi yenye watu wajinga wengi, masikini wengi, watu wengi wasio na matumaini na wanaopenda kutumia majibu rahisi, badala ya kuumiza akili na kupata majibu rahisi, uchawi ni lazima uwepo, mawazoni mwao.
mkuu kiranga katika moja na mbili zakoUpo mawazoni mwako, ndiyo maana hata nikikupa nafasi ya kuthibitisha huwezi.
Nimekupa nafasi ya kuthibitisha, bado unaniuliza tu au "hujawahi kuona?".Uchawi upo all over the world mkuu, na dunia nyingine unaonyeshwa waziwazi na wachawi wanashindanishwa jukwaani au hujawahi kuona ?
Hawawezi kuthibitisha, kwa sababu haupo, ni mambo ya kuhadithiana, kudanganyana, kujazana ujinga tu.mkuu kiranga katika moja na mbili zako
shida inakuja kwenye kuthibisha huo ulozi ndio wengi wanaposhindwa
Nimeshakueleza soma tena upya updates hapo juu,Nimekupa nafasi ya kuthibitisha, bado unaniuliza tu au "hujawahi kuona?".
Wapi uchawi unashindanishwa jukwaani? au unachanganya mazingaombwe na uchawi?
Juu wapi? Post namba ngapi? Unaelewa kila post ina namba yake?Nimeshakueleza soma tena upya updates hapo juu,
Nitakuuliza swali dogo sana najua unaamini tumeumbiwa vitu vitatu mwili, nafsi na roho je! umewahi kuigusa Nafsi au Roho yako hata siku moja ukaona inagusika vipi ? (Swali fikirishi sana)Hawawezi kuthibitisha, kwa sababu haupo, ni mambo ya kuhadithiana, kudanganyana, kujazana ujinga tu.
Soma hapa CHINI tena soma kwa kutuliaJuu wapi? Post namba ngapi? Unaelewa kila post ina namba yake?
Km ulizaliwa ukiwa umetoka kula damu (usishangae) tumboni kwa mama yako hakuna uji wala maziwa maana muda wote ulikua unashiba damu tupu unamfyonza mama yako wewe nyonya damu, ukakatwa kitovu basi kilichofanyika kwenye hatua za awali ni uchawi ndipo wewe ukapata kuishi mpaka leo hii unapumua
Uthibitisho unaanzia pale ulipokatwa kitovu ili kutenganishwa na mwili wa mama yako wewe mla damu,mkuu kiranga katika moja na mbili zako
shida inakuja kwenye kuthibisha huo ulozi ndio wengi wanaposhindwa
Juu wapi? Post namba ngapi? Unaelewa kila post ina namba yake?
Sasa uoga uko wap hapo Dr. ?Acha uoga Mkuu