Maisha ya mateka 70 kwa kusitisha vita siku 5. Nini faida na hasara ya utekelezwaji wake?

Kumwaga damu ya Myahudi lazima ujindae mapigo, yaani hapa hata mkiachia hao mateka wote lazima mtapigwa tu.
Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?

Maana tokea vita imeanza Israel kazi yake ni kupiga wanawake, watoto na wagonjwa waliopo hospital
 
Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.

Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa Israel wamekataa pendekezo hilo kwa vitendo kwa kuendelea kupiga hospitali ambazo tayari zimesimama kufanya kazi kwa kusihiwa na kila kitu.

Ni zipi faida itakazozipata Hamas kwa kutekelezwa masharti hayo na zipi itakuwa hasara kwa upande wa Israel.

Tumia akili yako kujadili jambo la maana katika wakati mgumuj kabla hali haijabadilika ghafla.
Endapo Israeli itaridhia sharti hilo(kitu ambacho kamwe haitakubaliana nacho) itakuwa imetoa mwanya kwa hao magaidi kutumia muda huo wa siku 5 kujipanga (re-org) jambo ambalo litavuruga na kutibua masterplan ya Israel.
Israel atakuwa amejidhalilisha kwa kupokea/kuridhia masharti ya Gaidi mkorofi.
HAMAS kwa upande wake watapumua kidogo na huenda wakaweza kupokea msaada kutoka kwa maswahiba wake au kujificha zaidi.
Kwa sasa ni muda muafaka kwa Israel ku-intensify mashambulizi/kipigo kwani ukimsikia Gaidi anapiga kelele za kuomba apate walau pumzi au analialia, ni ishara ya wazi kwamba Gaidi huyo ameshaona mwisho wake (hatima yake)umefika na salio limeisha hana pa kushika tena.
Mwisho wa siku, Tunatarajia HAMAS watasalimu amri kwa maombi(Sio masharti) kwamba wasiuawe baada ya kujisalimisha. Na pengine Israel kwa hasira alizo nazo dhidi ya Magaidi hao, bado anaweza kukataa na kuwapelekea moto.
 
Tusubiri kwa muda mfupi huku kichapo kikiendelea ndipo tutaona kama watoto,wanawake na wagonjwa wanavaaga combat na kubeba AK 47 na tena kama wanaweza kuomba siku tano za ceasefire.
 
Endapo Israeli itaridhia sharti hilo(kitu ambacho kamwe haitakubaliana nacho) itakuwa imetoa mwanya kwa hao magaidi kutumia muda huo wa siku 5 kujipanga (re-org) jambo ambalo litavuruga na kutibua masterplan ya Israel.
Israel atakuwa amejidhalilisha kwa kupokea/kuridhia masharti ya Gaidi mkorofi.
HAMAS kwa upande wake watapumua kidogo na huenda wakaweza kupokea msaada kutoka kwa maswahiba wake au kujificha zaidi.
Kwa sasa ni muda muafaka kwa Israel ku-intensify mashambulizi/kipigo kwani ukimsikia Gaidi anapiga kelele za kuomba apate walau pumzi au analialia, ni ishara ya wazi kwamba Gaidi huyo ameshaona mwisho wake (hatima yake)umefika na salio limeisha hana pa kushika tena.
Mwisho wa siku, Tunatarajia HAMAS watasalimu amri kwa maombi(Sio masharti) kwamba wasiuawe baada ya kujisalimisha. Na pengine Israel kwa hasira alizo nazo dhidi ya Magaidi hao, bado anaweza kukataa na kuwapelekea moto.
Inachokiona Israel nataraji ni kibaya kuliko nafuu unayowaona wanayo.Waliokufa ni wengi kuliko 46 waliotangazwa.
Ukiwalazimisha IDF kupigana bila mapumziko wanaweza wakaanza kuasi.
Kama Israel hajui kwa uhakika mahali walipo mateka basi kupiga kwa kubahatisha kunazidi kuwagharimu.
Kitu unachosema kuhusu kusalimu amri kwa Hamas huwa hakipo.
 
Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?

Maana tokea vita imeanza Israel kazi yake ni kupiga wanawake, watoto na wagonjwa waliopo hospital
Israel kutopata hata mateka 1 ni kitu cha hatari kwa utengamano ndani ya Israel.
Hivyo kukubali masharti ya Hamas kutawatuliza kwa kiasi fulani raia zake.
 
Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.

Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa Israel wamekataa pendekezo hilo kwa vitendo kwa kuendelea kupiga hospitali ambazo tayari zimesimama kufanya kazi kwa kusihiwa na kila kitu.

Ni zipi faida itakazozipata Hamas kwa kutekelezwa masharti hayo na zipi itakuwa hasara kwa upande wa Israel.

Tumia akili yako kujadili jambo la maana katika wakati mgumuj kabla hali haijabadilika ghafla.
Faida itakuwa kwa hao magaidi.
1. Siku tano ni nyingi sana bila usumbufu wowote wa kimapigano.
Hivyo kutokana na muelekeo wa vita hiyo atakayefaidi na ni Hamas.
2. Wataweza kuwasiliana .na washirika wao kwa ajili ya misaada ya kijeshi.
3. Watapora misaada kama madawa, mafuta , na vyakula na hapo watakuwa wana uhakika wa kuishi mashimoni.
4. Itawasaidia magaidi kwa kutumia washirika wao walipo kwenye mahospitali,mashule na.miundombinu Mungu e ya kiraia kukusanya taarifa za idf waliopo Gaza na kisha kuandaa namna.nzuri ya kuwamaliza.
Binafsi nawamabia Israel wasifanye hilo kosaa la.kukubali litawagharimu.
Adui hana nguvu,chakula kimemuishia, wanaozunguka upande wa magaidi wapo nje ya Gaza.
Kama ni mateka hadi muda huu ni kama wamekufa tu, hivyo hata wakifa ni kama ambavyo wangekuwa wakiwa majumbani kwao tu..
Kama ni kuachia mateka waachiwe wote tena bila masharti.
 
Inachokiona Israel nataraji ni kibaya kuliko nafuu unayowaona wanayo.Waliokufa ni wengi kuliko 46 waliotangazwa.
Ukiwalazimisha IDF kupigana bila mapumziko wanaweza wakaanza kuasi.
Kama Israel hajui kwa uhakika mahali walipo mateka basi kupiga kwa kubahatisha kunazidi kuwagharimu.
Kitu unachosema kuhusu kusalimu amri kwa Hamas huwa hakipo.
Kumbuka IDF (na majeshi yote duniani) huwa na zamu(shift)katika muda wa mapigano i.e. kuwepo frontline. Kwa maana hiyo huwa kuna mapumziko kama ilivyo katika nyanja nyingine za Utumishi Serikalini- Likizo. Mkuu, mbona kufa kwa askari vitani ni kawaida kabisa. Dah! Sijui nikuelezeje. Yani ni kama kucheza draft- kete zako ni lazima zitaliwa lakini mwisho wa siku opponent wako kete zake zitaliwa nyingi hadi ataishiwa kete na hapo ndo mwisho wa mchezo- ww unaibuka kidedea. Kwa hiyo usibabaike na hiyo 46 au hata zaidi. Ngoma iko palepale.
Israeli habahatishi kamwe. Israel anajua kwa UHAKIKA mahali pa kupiga na patakaposababisha maumivu makali. Ndio maana kila kipigo kutoka kwa Israel kinafuatiwa na kilio cha maumivu upande wa HAMAS.
Kusalimu amri hutokea wakati wa mtifuano mubashara na ni jambo ambalo huwa ni ufe au uishi - ukichagua kuishi kama nafasi na utaratibu unazingatiwa ni kutii amri ya mpinzani wako(Adui) vinginevyo unabutuliwa chap.
 
Kwa namna yoyote ile Hamas sio rahisi kuwaachia mateka ndio turufu yao pekee iliyobaki kuwafanya Israel wasimamishe mapigano.

Kwa upande mwingine Israel kwa sasa haijali sana kuhusu mateka(ni kama wamekubali kuwapoteza) wanachotaka ni kuisafisha kabisa Gaza na kuja na mpango mpya wa namna ya kuboresha jinsi watakavyo ikalia Gaza kibabe zaidi Hamas wasipate mwanya tena wa kushambulia.

Hata Hamas wakiwaachia mateka kipigo kipo palepale hadi watimize adhma yao.
Naungana nawe kabisa
 
Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?

Maana tokea vita imeanza Israel kazi yake ni kupiga wanawake, watoto na wagonjwa waliopo hospital

Hao mashujaa wa dini yenu wamejificha nyuma ya vitoto, ila Myahudi hajali, anapiga tu.
 
Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.

Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa Israel wamekataa pendekezo hilo kwa vitendo kwa kuendelea kupiga hospitali ambazo tayari zimesimama kufanya kazi kwa kusihiwa na kila kitu.

Ni zipi faida itakazozipata Hamas kwa kutekelezwa masharti hayo na zipi itakuwa hasara kwa upande wa Israel.

Tumia akili yako kujadili jambo la maana katika wakati mgumuj kabla hali haijabadilika ghafla.
ALWAZ WEWE SI ULIKUA UNASEMA IDF MASHOGA NA HAWAWEZI KUINGIA GAZA NA MPAKA UKAJIAPIZA KABISA
 
Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.

Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa Israel wamekataa pendekezo hilo kwa vitendo kwa kuendelea kupiga hospitali ambazo tayari zimesimama kufanya kazi kwa kusihiwa na kila kitu.

Ni zipi faida itakazozipata Hamas kwa kutekelezwa masharti hayo na zipi itakuwa hasara kwa upande wa Israel.

Tumia akili yako kujadili jambo la maana katika wakati mgumuj kabla hali haijabadilika ghafla.

Sidhani Kama Israel Wana muda wa kujadiliana na Hamas tayari wameshaingia Al Shifa hospital kumaliza kazi. Naona Hamas wamezidiwa.
 
Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?

Maana tokea vita imeanza Israel kazi yake ni kupiga wanawake, watoto na wagonjwa waliopo hospital

Kwa hivyo Hamas ni wanawake. Maana inakuwaje IDF inajinafasi Gaza wao hawapo?
 
Back
Top Bottom