Ndiyo Vita iendelee Sasa wanataka isimame siku tano za nini na Wana long term plan Kama ya IsraelHata Hamas nao huwa wanakuwa nayo hiyo long term plan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo Vita iendelee Sasa wanataka isimame siku tano za nini na Wana long term plan Kama ya IsraelHata Hamas nao huwa wanakuwa nayo hiyo long term plan
Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?Kumwaga damu ya Myahudi lazima ujindae mapigo, yaani hapa hata mkiachia hao mateka wote lazima mtapigwa tu.
Endapo Israeli itaridhia sharti hilo(kitu ambacho kamwe haitakubaliana nacho) itakuwa imetoa mwanya kwa hao magaidi kutumia muda huo wa siku 5 kujipanga (re-org) jambo ambalo litavuruga na kutibua masterplan ya Israel.Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.
Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa Israel wamekataa pendekezo hilo kwa vitendo kwa kuendelea kupiga hospitali ambazo tayari zimesimama kufanya kazi kwa kusihiwa na kila kitu.
Ni zipi faida itakazozipata Hamas kwa kutekelezwa masharti hayo na zipi itakuwa hasara kwa upande wa Israel.
Tumia akili yako kujadili jambo la maana katika wakati mgumuj kabla hali haijabadilika ghafla.
Tusubiri kwa muda mfupi huku kichapo kikiendelea ndipo tutaona kama watoto,wanawake na wagonjwa wanavaaga combat na kubeba AK 47 na tena kama wanaweza kuomba siku tano za ceasefire.Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?
Maana tokea vita imeanza Israel kazi yake ni kupiga wanawake, watoto na wagonjwa waliopo hospital
Inachokiona Israel nataraji ni kibaya kuliko nafuu unayowaona wanayo.Waliokufa ni wengi kuliko 46 waliotangazwa.Endapo Israeli itaridhia sharti hilo(kitu ambacho kamwe haitakubaliana nacho) itakuwa imetoa mwanya kwa hao magaidi kutumia muda huo wa siku 5 kujipanga (re-org) jambo ambalo litavuruga na kutibua masterplan ya Israel.
Israel atakuwa amejidhalilisha kwa kupokea/kuridhia masharti ya Gaidi mkorofi.
HAMAS kwa upande wake watapumua kidogo na huenda wakaweza kupokea msaada kutoka kwa maswahiba wake au kujificha zaidi.
Kwa sasa ni muda muafaka kwa Israel ku-intensify mashambulizi/kipigo kwani ukimsikia Gaidi anapiga kelele za kuomba apate walau pumzi au analialia, ni ishara ya wazi kwamba Gaidi huyo ameshaona mwisho wake (hatima yake)umefika na salio limeisha hana pa kushika tena.
Mwisho wa siku, Tunatarajia HAMAS watasalimu amri kwa maombi(Sio masharti) kwamba wasiuawe baada ya kujisalimisha. Na pengine Israel kwa hasira alizo nazo dhidi ya Magaidi hao, bado anaweza kukataa na kuwapelekea moto.
Israel kutopata hata mateka 1 ni kitu cha hatari kwa utengamano ndani ya Israel.Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?
Maana tokea vita imeanza Israel kazi yake ni kupiga wanawake, watoto na wagonjwa waliopo hospital
Lazima wapigwe kwani ndo hamas wenyewe hao!Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?
Maana tokea vita imeanza Israel kazi yake ni kupiga wanawake, watoto na wagonjwa waliopo hospital
Faida itakuwa kwa hao magaidi.Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.
Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa Israel wamekataa pendekezo hilo kwa vitendo kwa kuendelea kupiga hospitali ambazo tayari zimesimama kufanya kazi kwa kusihiwa na kila kitu.
Ni zipi faida itakazozipata Hamas kwa kutekelezwa masharti hayo na zipi itakuwa hasara kwa upande wa Israel.
Tumia akili yako kujadili jambo la maana katika wakati mgumuj kabla hali haijabadilika ghafla.
Mnaanza kutumia mateka kutafuta unafuu. Na hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya kuwakamata mateka raia.Israel kutopata hata mateka 1 ni kitu cha hatari kwa utengamano ndani ya Israel.
Hivyo kukubali masharti ya Hamas kutawatuliza kwa kiasi fulani raia zake.
Acha kujitoa ufahamu unadhani IDF ni jeshi la Congo eeehhh!!Ukiwalazimisha IDF kupigana bila mapumziko wanaweza wakaanza kuasi.
Kumbuka IDF (na majeshi yote duniani) huwa na zamu(shift)katika muda wa mapigano i.e. kuwepo frontline. Kwa maana hiyo huwa kuna mapumziko kama ilivyo katika nyanja nyingine za Utumishi Serikalini- Likizo. Mkuu, mbona kufa kwa askari vitani ni kawaida kabisa. Dah! Sijui nikuelezeje. Yani ni kama kucheza draft- kete zako ni lazima zitaliwa lakini mwisho wa siku opponent wako kete zake zitaliwa nyingi hadi ataishiwa kete na hapo ndo mwisho wa mchezo- ww unaibuka kidedea. Kwa hiyo usibabaike na hiyo 46 au hata zaidi. Ngoma iko palepale.Inachokiona Israel nataraji ni kibaya kuliko nafuu unayowaona wanayo.Waliokufa ni wengi kuliko 46 waliotangazwa.
Ukiwalazimisha IDF kupigana bila mapumziko wanaweza wakaanza kuasi.
Kama Israel hajui kwa uhakika mahali walipo mateka basi kupiga kwa kubahatisha kunazidi kuwagharimu.
Kitu unachosema kuhusu kusalimu amri kwa Hamas huwa hakipo.
Naungana nawe kabisaKwa namna yoyote ile Hamas sio rahisi kuwaachia mateka ndio turufu yao pekee iliyobaki kuwafanya Israel wasimamishe mapigano.
Kwa upande mwingine Israel kwa sasa haijali sana kuhusu mateka(ni kama wamekubali kuwapoteza) wanachotaka ni kuisafisha kabisa Gaza na kuja na mpango mpya wa namna ya kuboresha jinsi watakavyo ikalia Gaza kibabe zaidi Hamas wasipate mwanya tena wa kushambulia.
Hata Hamas wakiwaachia mateka kipigo kipo palepale hadi watimize adhma yao.
Nani atapigwa wanamganbo wa Hamas au watoto na wanawake wa kipalestina?
Maana tokea vita imeanza Israel kazi yake ni kupiga wanawake, watoto na wagonjwa waliopo hospital
Hatimae Mvua Imenyesha Gaza watu wanakunywa Maji Safi
GAZA NOW IN ENGLISH
View: https://t.me/gazaalanpa/1796?single
View: https://t.me/gazaalanpa/1797?single
The joy of the displaced people in Gaza as the rain falls after 39 days of water scarcity.
View attachment 2813760View attachment 2813762
Huenda mateka hawapo GazaIsrael hao mateka haina shida nao sana kwa sababu inajua walipo. Kama viongozi hamas wapo basi hao mateka nao wapo.
Mama umefikiria kuhusu kumwamini Yesu?.Hayo tunayasikia upande mmoja tu, ambao mara nyingi huwa unasema uongo au robo ukweli. Upande wa pili unasema ni pamoja na kuwachiliwa Wapalestina 1,700.
ALWAZ WEWE SI ULIKUA UNASEMA IDF MASHOGA NA HAWAWEZI KUINGIA GAZA NA MPAKA UKAJIAPIZA KABISAWapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.
Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa Israel wamekataa pendekezo hilo kwa vitendo kwa kuendelea kupiga hospitali ambazo tayari zimesimama kufanya kazi kwa kusihiwa na kila kitu.
Ni zipi faida itakazozipata Hamas kwa kutekelezwa masharti hayo na zipi itakuwa hasara kwa upande wa Israel.
Tumia akili yako kujadili jambo la maana katika wakati mgumuj kabla hali haijabadilika ghafla.
Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza.