Maisha ya Udalali: Kumzunguka dalali ni sawa?

Nashukuru wateja wangu wa JF ni wastaarabu sio kama wengi wao wanaokoment hapa
 
dalali uza chako ndo uone uchungu
Kweli kabisa yaani dalali anakula asilimia zaidi ya 50 ya mali yako ni ujinga bora utangaze bei ya biashara yako kwenye mitandao aisee weka namba mtu aje mwenyewe.
Vitu vya hivi ndio vinafanyaga madalali wanachukiwa. Mwenye Mali kaibiwa na mnunuzi kaibiwa na wote mwizi wenu mnamjua!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukitaka kujua umuhimu wa dalali tafuta wewe mwenyewe wateja uione shughuli/

sasa basi imetokea kuna kitu unataka uuze kwa laki 1, ukatafuta wateja lakini hujapata.

kazi umempa dalali sasa, dalali kapata mteja mwenye laki 5
 
Mkuu natamani siku moja ukutane na Mimi bhana nione hizo fujo unazotambia humu unazifanya vipi ?

Kweli Mimi nilipe hela ya udalali Mara 2 hahahahahhahahaahaha dunia imebeba watu wanyonge kinoma. Nadhani kwa Kile nitawafanya utagundua Kuna watu huwa hatufanyiwi mchezo
 
Very simple, imagine wewe ndio dalali, ukifanyiwa hivyo utajisikia powa? If yes, then go on, if not basi tenda wema
Mkuu acha kujenga hoja dhaifu kiasi hiki unauliza suala la kujiskia kwenye issue ya uhalali au haki ?
Ujue hata mwizi akinyang'anywa Mali aliyoiba hajiskii poa ? Issue si anajiskia vipi , issue Ni je hiyo anayotaka kuchukua kwa mteja Ni halali ?
 
Mkuu acha kujenga hoja dhaifu kiasi hiki unauliza suala la kujiskia kwenye issue ya uhalali au haki ?
Ujue hata mwizi akinyang'anywa Mali aliyoiba hajiskii poa ? Issue si anajiskia vipi , issue Ni je hiyo anayotaka kuchukua kwa mteja Ni halali ?
Hahahaha hahahaha
 
Shida walio wengi wamekaa kumponda dalali wanasahau mada kuu ya mjadala.

Swali ni je ni sawa kumzunguuka dalali???
na vipi kuna utaratibu wowote kisheria endapo ukinaunguuka dalali???

Achaneni na maswala ya kuita mara tapeli mara nini
Dalali siyo sawa na Tapeli, lakini dalali naweza mlinganisha na tapeli
 
Mnaona udalali kazi rahisi mimi kwangu hela utatoa na makofi utachukua kabla kazi tunakubaliana kabisa na ma landlords wanaelewa kabisa kodi ya mwezi ya kwangu
Mkuu unapiga wadada wewe .

Nakuhakikishia kuwa hujawahi kukutana dhoruba ya watu jeuri wewe. Utaacha udalali siku ukikutana na dhahama .

Kama landlord anaelewa si akupe hiyo hela au agome kuchukua hela yangu . Ntawageuzia kibao wote siku mkikutana na mtu Kama Mimi. Nakuhakikishia utaacha huu ujinga unaotambia hapa
 
Acha mikwara kima ww yaani dalali unamtafuta mwenyewe unampa kazi akutafutie nyumba ya kupanga na hela ya mwezi mmoja ya kumpa unakubali then ukishaiona nyumba ubadilike dogo utaolewa mjini hapa ushamba peleka kwenu kijijini huku watu wanatumia akili tu wala sio miguvu kulukundu

Sent by Dalali-Mzoefu
 
Aisee me kipindi cha Corona pesa hakuna nahama nyumba kodi 250K mamaee afu eti nimpe dalali mwezi mmoja.. Mbona hajanionaa na nyumba nishaamia sema nkikutana nae mtaani aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hii post yako nakuhakikishia humu ushapoteza wateja!Hii post ilitakiwa uitumie positively kuwavutia wateja na sio haya majigambo uliyoweka humu!
 
Sasa hizo akili Kama hazikusaidii kuelewa kuwa hiyo Kodi ya mwezi mmoja sio lazima kutolewa ndo watu Kama Mimi tunatumia nguvu kukufundisha adabu .

Nakuhakikishia siku ukikutana na mtu Kama Mimi hivyo vitisho hutotoa . Namlipa landlord mbele yako na hunifanyi kitu hata muitane kijiwe chote .

Sie tushafanya uhuni na ugomvi hadi tukaamua kustaafu . Watu laini Kama wewe mnaopenda slopes nachukua Hadi ulivyobeba mfukoni
 

Bro acha utapeli. Kulalia jasho la wanaume wenzio bila kutumia nguvu yoyote qmamae zenu madalali mnakera sana!
 
Bro acha utapeli. Kulalia jasho la wanaume wenzio bila kutumia nguvu yoyote qmamae zenu madalali mnakera sana!
Una ny**e ? Kwani dalali unamtafuta ww au anakutafuta listen kama hutaki utata usiingie katika kazi za watu udalali ni kazi halali soon serikali itatutambua nationwide na tutakuwa rasmi
 
Halogwi anapewa makavu mtoto wa kike badala ya kwenda kumkaangia bahasha wake anakuja kuingia kwenye battle za wanaume

Jibaba zima na nywele makalioni unasubiri mwanaume mwenzio ahenye weeee ajenge nyumba kisha wewe ule pesa ya bila jasho qbabako madalali aisee mnakera!
 
Mimi nikimpa kazi dalali namlipa pale napokuwa nafanya hiyo biashara. Habar za kuzungukia maeneo/nyumba hiyo inakuwa juu yake.

Kumpa hela kila anapokupeleka ni uzembe,lazima na yeye aone uwekezaji/gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…