mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Dalali si sawa na agent sababu.Dalali ni kazi Kama kazi zingine hata Mino Raiola ni dalali was CR7 ila tu kwa sababu tunatumia neno agent ndio maana anaheshimika.
Dalali azungukwi Wala madalali hatuzungukani "what goes around comes around around",ukimzunguka dalali atajua tu coz hiyo sehemu anayokupeleka ndio shamba lake huwa tunakusanya elf 20 ishurini za service charge kila siku ,siku nikileta mteja kwa hiyo chumba lazima mwny nyumba atanitonya bwana chumba kimechukuliwa na mteja X Mara paap nakukuta ndio unatoka chooni na kitaulo chako akiya Mungu naondoka na taulo nakuacha kama ulivyo.
Muhimu kuheshimu pale mwenzio anapopatia kipato ,usimdharau mtu sababu anafanya hyo job,just nimekutana na dalali wa magari ambaye ni dokta wa hospital kapiga vitu vyake MUHAS hapo akaanza kunitisha nikamwambia tulia mm mwnywe dalali wa nyumba ila mhandis alikuja kuniuzia gari.Kwa hiyo tuka merge now akipata wateja wa nyumba ananipasia na mm nikipata wa magari nampasia tunagawana asilimia kitu na box.
Agent sio mbabaishaji.
Labda msajiriwe mnaweza kukaa sawa sasa.