Daaaah ndo ulale pale usawa wa toiletUnajua ile cell ikoje,ni kama darasa hivi kubwa lililo tupu..sasa kulala mnaelekeza vichwa ukutani pande zote mbili katikati mnaacha njia,na mwisho wa cell ndio kuna toilet...sema hakuna magodoro mnalalala chini kwenye sakafu japo yapo machache,mbaya zaidi wanachanganya wafungwa na mahabusu..
Ukiingizwa hapo ndani ndio utajua sio vibe ni kulazimisha kupoteza mfadhaiko, vibe kifungoni wapi na wapi.Zamani niliendaga police kuchukua loss report kabla hizi za kidijitali hazijaja,
Mahabusu wamejazana humo zaidi ya kumi kwenye hicho kichumba nawaona,
Kikaletwa chakula cha flani, flani anaitwa na askari haitiki, hadi mahabusu wakawa wanaita jamani flani, kimya,
Mmoja alikuwa mbele muda wote akasema ni mimi hapa nakiomba,
Askari akasema sio wewe,
Mahabusu wengine wakawa wanacheka,
Mara wataniane na askari,
Inshort tangia nimeingia pale hadi natoka kulikuwa na vibe flani hivi you'd think they're having a good time in there [emoji28][emoji28]
Wadada Hawa Hawa wa bongo?? Ukishaenda jela tu kwake huna maana tena!! [emoji1787]Hivi jela zetu sijui kwa nini hakuna huduma ya kuruhusu manzi wako aje mnapewa chumba maalumu unamgegeda mkimaliza anaondoka unaendelea na kifungo chako
Hii nimewahi kufungwaKuna jela za kiroho, hizo hutesa zaidi kuliko jela za serikali
Daaah inashangaza
Mimi nimewahi kufungwaUnajidanganya wewe
Kama zipi mkuuKuna jela za kiroho, hizo hutesa zaidi kuliko jela za serikali
Unawapiga wajinga sio wanaumeMi nikikerwa huwa napiga wanaume...sa itakuwaje
Nikuoe mimi. Nime miss sana kupigwa na mwanamke.Nikisema unioe utakubali[emoji848]
Nnilipata kusimuliwa na mhanga wa kukaa mahabusu mwaka kwa tuhuma za mauaji. Alisema siyo watu wanapenda kufumliwa marinda, la hasha.Daaaaah pole zake ila sidhani km ni kweli coz hata km celo kumejaa,wakati wa kulala Askari celo anawapanga kichwa juu mwingine chini!!
Sasa mtu alale mpk afanyiwe unajisi huyo ni mjinga sana
Sio hawa wadada tu hata mke nenda jela uone.Wadada Hawa Hawa wa bongo?? Ukishaenda jela tu kwake huna maana tena!! [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeamini utakuwa ni mpumbavuNnilipata kusimuliwa na mhanga wa kukaa mahabusu mwaka kwa tuhuma za mauaji. Alisema siyo watu wanapenda kufumliwa marinda, la hasha.
Kuna wababe wa jela, watakutesa hadi mwenyewe unajilengesha. Hasa wasimamizi wa misosi. Unapewa chakula kidogo halafu nacho unanyang'anywa na wababe.
Wakati mwingine, ukiwa umelala, kwa mtindo wa kubanana, jamaa analala karibu na wewe kwa lengo hilo. Kwa kuwa huruhusiwi kupiga kelele mkiwa mmelala, basi mzigo unapigwa kimyakimya.
Sina hakika na haya, laikini msimliaji na ambaye yalimkuta alinisimlia.
Amesema aliyefika, nimemwamini. Ila kuniita mpumbavu unanionea.Kama umeamini utakuwa ni mpumbavu
Kwahiyo alifirw@?Amesema aliyefika, nimemwamini. Ila kuniita mpumbavu unanionea.
Ndiyo, alikuwa mgonjwa. Nilitaka kujua tatizo ili nimsaidie. Akanambia kuwa kunako kunauma. Sababu ni kufukuliwa.Kwahiyo alifirw@?
Fanya hivo jamanNikuoe mimi. Nime miss sana kupigwa na mwanamke.