Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Kuna jamaa yetu kipindi tuko chuo alifanya msala akatiwa hatiani akaswekwa ndani. Jamaa ni nunda tena wale madogo wa chuga. Siku moja tuka jiorganize watu kadhaa tukamtembelee jamaa alikua analia tu kimoyomoyo nikasema huyu keshanyooshwa huko.

Hiyo ilinipa picha halisi namna kule ndani kulivyo. Jela sio poa
Kule noma utukutu hakuna, ukijifanya chizi watakupa marungu uchizi utatoka tu😂😂
 
Kuna jamaa yetu kipindi tuko chuo alifanya msala akatiwa hatiani akaswekwa ndani. Jamaa ni nunda tena wale madogo wa chuga. Siku moja tuka jiorganize watu kadhaa tukamtembelee jamaa alikua analia tu kimoyomoyo nikasema huyu keshanyooshwa huko.

Hiyo ilinipa picha halisi namna kule ndani kulivyo. Jela sio poa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jela haina baunsa. Ukiingizwa mle lazma utepete yani.
 
Nilikua na binti mmoja mzigua wa Tanga. Alinipa maisha ya namna hii yan hakuna hali yoyote(ugomvi, kukosa hela, kuumwa n.k) itakayofanya akunyime papuchi. Sikuwahi chepuka ila kilichofanya tuachane ni mapungufu mengine tu ya kimakuzi nilishindwa kuvumilia

Jela hakufai we kusikie kwa mtu mwingine uombe yasikukute
Wazigua wanatamaa tamaa sana
 
Mbona hussein machozi aliimba bora arudi jela baada ya kuona maisha magumu mtaani?
Yeye aliimba kutokana na mazingira aliyoyakuta ni tofauti na alivoyaacha. Imagine unakaa kifungoni miaka 10+ huyu mtu wakati anaingia kifungoni hakuacha flat Tv, Smartphone, hata mwendokasi hazikuwepo hapo hatujaongelea mabadiliko ya bei na upatikanaji wa chakula na mahitaji mengine ya msingi. Yan anakutana na maisha tofauti kabisa mtu anatamani arudi jela tu
 
Daaah ngumu sana, tulinde uhuru tukionao

Back
Top Bottom