Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Jela sio mchezo ndugu zangu. Nilimweka dogo mmoja Rumande tuu siku tatu nilipokwenda kumuona nikafuta kesi. Hapo ni Rumande tuu 😁
Kuna demu wangu aliwahi kulazwa External pale alijifanya kichwa ngumu wakati anataka kuingia Mabibo hostel sijui aliwatukana walinzi 😀😀😀!

Mpaka kesho hataki kusikia mambo ya kuswekwa ndani.
 
Kuna watu huwa wanadhani Jela ni mahala pa watu waovu tu,hawajui kuwa either uwe muovu au usiwe muovu,use na cheo au usiwe na cheo una probability ya kwenda jela haijalishi utasakiziwa au kwa kutenda.
Ogopa jela kama ukoma.
Kule ndugu yangu hakuna Plan sijui useme unaenda vingunguti ukafika.
Dakika 2 unajikuta pale segerea au juu pale ukonga
 
Kuna demu wangu aliwahi kulazwa External pale alijifanya kichwa ngumu wakati anataka kuingia Mabibo hostel sijui aliwatukana walinzi 😀😀😀!

Mpaka kesho hataki kusikia mambo ya kuswekwa ndani.
Kule hakuna mjanja lockup tu kasheshe unaweza kuta mmejazwa kachumba kamoja hakuna hewa, ndoo ya mkojo humohumo,ulipokaa hakuna nafasi ya kusogea hata nukta
Upo huko na walevi,majambazi,wauaji,machizi daaah hakufai
 
Maisha ya mahabusu/ mfungwa ni magumu na mabaya ila siyo kwa ubaya ule unaovumishwa mitaani kwamba kule k
Kule ni nyumbani kwa wote wakati wowote, omba Mungu akuepushe na kule kuzimu ndogo.
Ulivyohitimisha inaonekana yaliyosemwa juu ni machache na yameelezwa kiupole ukilinganisha na uhalisia. Funguka mkuu. Wengine ni watarajiwa
 
Nilisikia ushuhuda wa jambazi sugu mstaafu anasema.
Jela ni roho, na jela Ina wenyewe, kama kwenye familia yenu hapajawahi mtu kuingia jela ni ngumu kuingia na kama alishawahi possibility ni kubwa kwa members yeyeto wa familia YAKO kuingia.
 
We hujaotewa ,
mume wa Kajala mpk leo sijui kaishia wapi, na yule wa Wema?
Mramba aliyesema tule majani ndege inunuliwe jiwe kacheza nae kadance kule mpk kakubali kufagia muhimbili.
Kuna yule mwamba wa kaskazini TRA Enzi zake humgusi sijui wamemalizana nae au vp.
Hawana pesa za kununua UHURU wao.Ukimuona tajiri jela kalichokoza kajiingiza 18 za wenyewe au anakomolewa.
 
Back
Top Bottom