Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Hawana pesa za kununua UHURU wao.Ukimuona tajiri jela kalichokoza kajiingiza 18 za wenyewe au anakomolewa.
Sasa wakijua una mtonyo bilioni kadhaa si ndio unaisha.
Jela uko saa yoyote bora umalizane nao kitaa hawa polisi wetu.
Kuna polisi tulisindikizana nikakope elfu 10 kwa majirani nimpe maana vinginevyo alisema naandika fail unaenda lupango.😁
 
Hata mia tu ukai jela.
Hamsini yao,ni chain,kesi bongo ni biashara,ni maisha ya watu.
Sheria ni kwa ajili ya watu masikini
 
Kuna jela za kiroho, hizo hutesa zaidi kuliko jela za serikali
Na nyie walokole na mambo yenu ya kufikirika. Unashinda kanisani kila siku,maisha magumu. Kila siku unaomba Dua tu, harafu unaenda kuomba kazi kwa mchina,asie enda kanisani,ambaye anatumia mbongo yake kutengeneza kampuni,hili wewe unaeshinda unamuomba "Mungu"upate kazi!

Sasa unafikili huyo Mungu akiangalia chini, kati yako wewe na mchina,nani anaonekana wa maana anayeitiisha na kuitawala Dunia!
 
Sasa wakijua una mtonyo bilioni kadhaa si ndio unaisha.
Jela uko saa yoyote bora umalizane nao kitaa hawa polisi wetu.
Kuna polisi tulisindikizana nikakope elfu 10 kwa majirani nimpe maana vinginevyo alisema naandika fail unaenda lupango.[emoji16]
Ulikuwa muoga, siku hizi kesi za kubambikiziwa chache mno maana DPP, NPS, wamejaribu zifunika
 
Hata mia tu ukai jela.
Hamsini yao,ni chain,kesi bongo ni biashara,ni maisha ya watu.
Sheria ni kwa ajili ya watu masikini
Ndo hivyo umaskini tu.
Unapigwa mkono na trafik unasimama anaanza maswali ya ajabu mara kazama kwenye gari muende kituoni.
Kabla hamjafika kashasema huna change hapo nikuachie nirudi kwenye kazi,unampa.
Ukileta ubishi unapelekwa pabaya
 
Ndo ujue jela ni muda wowote hasa wengi wao ni vipato vya chini na kati
 
Ndo hivyo umaskini tu.
Unapigwa mkono na trafik unasimama anaanza maswali ya ajabu mara kazama kwenye gari muende kituoni.
Kabla hamjafika kashasema huna change hapo nikuachie nirudi kwenye kazi,unampa.
Ukileta ubishi unapelekwa pabaya
Akupeleke kituoni yaaani awapelekee Kazi wengine?
Ukivunja sheria ni fursa kwa wengine
 
Ulikuwa muoga, siku hizi kesi za kubambikiziwa chache mno maana DPP, NPS, wamejaribu zifunika
Mkuu yule alisema kabisa sikuachii hii kesi yangu, nikikuacha hapa kituoni wengine nikikabidhi shift mtamalizana.
Chagua moja unipe changu nikuruhusu au niandike sammans we wa kufungwa tu ili tukose wote.
Namwambia sina hela hapa.
Anasema nyumbani je?nikazuga sina, huna mtu unamjua ukakope ndo ikawa twende.
Nikampa mambo yakaisha.
Ni njaa tu
 
Back
Top Bottom