Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

We hujaotewa ,
mume wa Kajala mpk leo sijui kaishia wapi, na yule wa Wema?
Mramba aliyesema tule majani ndege inunuliwe jiwe kacheza nae kadance kule mpk kakubali kufagia muhimbili.
Kuna yule mwamba wa kaskazini TRA Enzi zake humgusi sijui wamemalizana nae au vp.
Dah kuna siku nilimkuta pale Palestine hosp anafagia mzee Mramba kwakweli niliishiwa pozi,binafsi nikiona mambo ya polisi lazima tumbo liungulume na nguvu kuisha ila nashukuru Mungu hadi hapa Vimeo vyangu God anavimaliza kibabe
 
Dah kuna siku nilimkuta pale Palestine hosp anafagia mzee Mramba kwakweli niliishiwa pozi,binafsi nikiona mambo ya polisi lazima tumbo liungulume na nguvu kuisha ila nashukuru Mungu hadi hapa Vimeo vyangu God anavimaliza kibabe
Polisi/mahakama si sehemu poa zakupelekana... pakimbie sna
 
Kuna jamaa baada ya kutoka jela alisema ikitokea amefanya kosa tena la kupelekwa huko, atakimbia hata kaa kusubiri yatakayojiri,watamkamata hata ameshafika uganda ila sio kusubiri

Huyu dogo alikaa huko mwezi mmoja tu
Kule hata machizi yameenyokaa hakuna mbabe abadani nakuhakikishia hutamvimbia yeyote kunyooka ni lazma!! 😂😂😂
 
Vipi wale matajiri kama kina Seth na Rugemalira, nasikia hawa huwa wanakaa sehemu zao VIP ambako kidogo ni nafuu, hawachangamani na wengine. Ni kweli!???
 
Siku hapo msimbazi center ilala nakunja kona wale jamaa wa boda na mabunduki yao hawa hapa wanapiga mkono, paki pembeni vp kunani?
"We umetuchomekea siku ya usalamabarabarani, "
hata sijui mi nimekunja kona yangu niendelee na safari.
Hapo nimepaki africenter ikabidi niwashtue "e bwana mi nna kiu tupate japo moja moja huku tukiongea.
Wakavua magwanda zama bar.
Mule kuelewana nikawapa walichotaka, tunatoka wamevaa migwanda yao wako "si tutazuga gari yako ilikua mbovu tunacheck usalama 🤣🤣🤣e bana fungua bonet,check oil nawakasukuma ile gari🤣,
gari chaser ilikua one kick drive automatic haina ubovu wowote service nimefanya full siku 5 tu zimepita
Mind you hapo nimepigwa buku 40 tayari bila kosa,
Sukuma kidogo nikawasha imewaka eeh?
Mimi yaah asante sana maafande.😂😂😂
Bongo nyoso sana full comedy
Huyo Naondoka tunapungiana mkono km hakuna lililotokea.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu ibariki Tanzania 🙏
 
Niwape kisa kimoja.

Ndugu yangu Mmoja ni Moja ya wale makomandooo walopewa kesi ya uhaini mwaka 2013 na kufungwa jela mwaka 2015.

Ni wale walofugwa wakati wa uchaguzi kile kipindi Mwamnyange kapigwa tukio nahivo kusafirishwa nje .


Walikua Vijana zaidi ya 30.



Jamaa waliachiwa huru Kwa Msamaha wa Rais mwaka 2017 .


Namnukuu "Mdogo wangu Jela ni jela, Mimi nilioitia mafunzo mengi sanaaa ,ni sugu sana, lakini usije kuthubutu kufanya kosa ukaletwa jela hata Kwa mwezi mmoja ".



by the way, Walifukuzwa Kwa uonevu, na hawakuonewa stahiki zao.


najua hata hapa nimeandika wahusika walisoma, wataanza Ohooooo Tupe ushahidi.

ushahidi wa Nyokooo kwani hamjui?? Mmefanya Vijana wa watu wamekua majambazi, wengine wamekimbilia kupigana Urusi .


Kwa sababu ya kuwanyima stahiki zao Kwa kesi za uhuni kabisa
Kweli mkuu unaweza sekwa lupango kwa faida ya wengine.

Kugumu kule usithubutu
 
Jela jela siyo mchezo watu wanapata mateso kulala kwa marungu ,kula kwa mijeredi ,chechela sege dansi nondo gereza inside ndichi ngombe lupango kunapoteketeza.

Yeyote kumfika hukumu inaweza au mkono wa sheria kidogo kuteleza, wanaokwenda jela siyo wote wana hatia wengine wanakwenda kwa kesi za kusingiziwa....."Hallow afande gewe ebu libambike kesi ya mauaji tupate kidogo kaulaji".
Inspector Babu!
 
Back
Top Bottom