Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Kule noma utukutu hakuna, ukijifanya chizi watakupa marungu uchizi utatoka tu😂😂
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jela haina baunsa. Ukiingizwa mle lazma utepete yani.
 
Wazigua wanatamaa tamaa sana
 
Mbona hussein machozi aliimba bora arudi jela baada ya kuona maisha magumu mtaani?
Yeye aliimba kutokana na mazingira aliyoyakuta ni tofauti na alivoyaacha. Imagine unakaa kifungoni miaka 10+ huyu mtu wakati anaingia kifungoni hakuacha flat Tv, Smartphone, hata mwendokasi hazikuwepo hapo hatujaongelea mabadiliko ya bei na upatikanaji wa chakula na mahitaji mengine ya msingi. Yan anakutana na maisha tofauti kabisa mtu anatamani arudi jela tu
 
Daaah ngumu sana, tulinde uhuru tukionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…