Wanatoboa lakini kuna bidii kubwa wanafanya na pia wanakuwa na nidhamu na life na kufanya savings, ila umri una matter sana. Huwezi kunichukua hapa at 45 nikaanze maisha huko, labda kazi kubwa kubwa za kitaalamu, siyo hizi za ku hustle....kuna mbongo nilimtembelea yeye alialikwa na rafiki yake akaenda kama tourist, kaenda na mke wake kwa sasa mambo yake yapo safi kajenga nyumba, usafairi wa matawi na wana watoto wawili wapo above 15 years, wamesimika na bendera ya Tanzania nje ya nyumba yao, maisha yanaenda...Lakini mbona wabeba box wengine wengi wametoboa huko?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kuna kidada nachat nacho kinafanya kazi oman..kimejenga bonge ya nyumba .hajafika hata form4 .yaan bonge ya jumba .sio nyumba shape L..au sio nyumba yenye mabati ya kugeukiana anamiaka 3 huko ..!Lakini mbona wabeba box wengine wengi wametoboa huko?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona mnatumix mkuu. Huyo aloalikwa alikua ana age ipi? Maana kama mm hata 40 bado! Au kisa nimeolewa nna watoto,?Wanatoboa lakini kuna bidii kubwa wanafanya na pia wanakuwa na nidhamu na life na kufanya savings, ila umri una matter sana. Huwezi kunichukua hapa at 45 nikaanze maisha huko, labda kazi kubwa kubwa za kitaalamu, siyo hizi za ku hustle....kuna mbongo nilimtembelea yeye alialikwa na rafiki yake akaenda kama tourist, kaenda na mke wake kwa sasa mambo yake yapo safi kajenga nyumba, usafairi wa matawi na wana watoto wawili wapo above 15 years, wamesimika na bendera ya Tanzania nje ya nyumba yao, maisha yanaenda...
Hahaha...huyo alijiongeza kinamna, huyo rafiki yake atakuwa alimshauri namna ya kufanya michongo, akajiongeza akapata kazi mara kapata na uraia........Sasa mbona mnatumix mkuu. Huyo aloalikwa alikua ana age ipi? Maana kama mm hata 40 bado! Au kisa nimeolewa nna watoto,?
Kwahyo kisa mimi msukuma unaniona mzitooHahaha...huyo alijiongeza kinamna, huyo rafiki yake atakuwa alimshauri namna ya kufanya michongo, akajiongeza akapata kazi mara kapata na uraia........
yale yale ya LUKU[emoji28][emoji28][emoji196][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kama upo Norway kweli piga picha mkononi ukiwa umeshika gazeti mojawapo la kila siku la Norway Verden Gang, au Aftenposten[emoji41]
Hahaha.....wewe tena ngosha huna taabu na mtu, duhu taabu!Kwahyo kisa mimi msukuma unaniona mzitoo
Acha kujidanganya, ukienda huko unakuwa mtumwa wa mfumo na ni vigumu kutoboa kwa ngozi nyeusi. Pesa unayopata inaishia kulipia nyumba na bili za maji, umeme, gesi, hapo inabidi upige vibarua kama mbwa na wakati mwingine kazi za usiku na baridi kali. Kupata kazi kwenye mfumo rasmi wa ajira ni ngumu labda uwe kichwa hasa.....wengi ambao mna wenge mnakuwa hamjawahi kufika, mmepashuhudia ulaya kwenye TV au kusimuliwa na watu kama mleta mada...
Mimi nadhani waswahili wengi hapa ndo tuna miss point. Mimi included!
Ok..Ulaya maisha magumu, kazi za box, baridi kali..nk. Lakini bongo maisha yakoje? mtu ameajiliwa anapata mshahara wa laki mbili, read again laki mbili! Hata dola mia haifiki! Professor wa University of Dar es salaam, aliyefundisha zaidi ya miaka 30..hapeleki nyumbani mshahara wa million tano! read again....five million! Pension system ndo hivyo..haieleweki... Kila mwenye ajira serikalini more than 80% wanategemea kuishi kwa ujanja ujanja na virushwa vidogo vidogo....mshahara haukutani na hauwezi kukidhi hata basic needs za mwanadamu! Serikali hata ingepeleka tons and tons za madawa hospitali..hao hao wahusika ndo wanapita mlango wa nyuma kuyauza hayo madawa. Wananchi wengi bongo wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kabisa....uhai hauna thamani tena! Wananchi Tunahusudu siasa za majungu na ujinga kuliko hata wanasiasa wenyewe...
Halafu leo unamshangaa Prof. Kabudi mwanasheria Nguli kafundisha mlimani miaka nenda rudi..anateuliwa uwaziri anamshukuru Rais kumtoa JALALANI? Sasa kama University of Dar ni Jalalani huko halmashauri za Songea na Kigoma si ni chooni kabisa?
Leo unapata wapi courage ya kudharau mtu anayebeba box kwenye winter na kulipwa dola 20 au 30 kwa lisaa (conservative estimates?). Unapata wapi courage ya kudharau watu kwamba wanaosha vyoo au kusafisha barabarani? Kwani kazi maana yake ni nini? Unakuta huyu huyu anayebeba mabox kwenye warehouse...anaishi maisha mazuri yenye kuthamini utu na kusaidia ndugu zake hapa Tanzania! Leo unasema wewe ni engineer bongo..wakati hata calvert za barabara zetu wanajenga fundi mchundo kutoka china? Daktari wa bongo akienda Ulaya hataweza kupractice..itabidi aanze upya..na bado huyo anapata guts za kudharau watu wanaosafisha vyoo ulaya?
Watanzania tuamke! Ndo maana hatuishi kugombana na serikali kwa hivi viajira ambayo hata huwezi kujitunza bila kuiba pesa za wavuja jasho wenzako.....achilia mbali kutunza familia!
Yes, Ulaya au US maisha siyo marahisi. Na wala hakuna sehemu maisha yalipo marahisi. Lakini ukiishi kwa discipline ukapambana..lazima utatoboa. Tatizo wengi wetu akili za umasikini zinatutesa sana. Bado tunaamini kwamba kazi ya maana ni ya kuajiriwa ofisini..hata kama unafanya kazi kwa muhindi unalipwa 150k!
Ushauri wangu..vijana amkeni mpambane. ukipata mchongo wa kwenda popote wewe nenda kafie mbele. Hata ukipata kazi ya ulinzi Syria au Yemeni kwa makampuni ya wamarekani ya ulinzi..nenda..usiogope kufa kwa mabomu. Inawezakana bongo usife kwa mabomu lakini ukafa kwa kugongwa na bajaji ambayo haina bima au kipindupindu!
Tuache negativities watanzania! Tupeane moyo wa kustruggle. Siyo kila anayeenda ulaya atapitia airport na passport na kusindikizwa na familia. au ni msomi anaenda kufanya masters kwa scholarship za wahisani....wengine ni watoto wa masikini. ..Mchongo wa Ulaya inabidi upambane mwenyewe bila baba fisadi wa kukutafutia scholarship za ujanja ujanja!
Imani yangu kubwa...watanzania songeni mbele mkatafute maisha. Hata akina Karl Peters, Livingstone, Columbus na wengine wengi... walitoboa wakaacha comfort zone zao wakaja huku kwetu "kuvumbua" dunia nyingine. Ni kupitia wao nchi zao zilitawala mataifa mengine na kuwa na dola kubwa kiuchumi! Tusiogope kufagia barafu au kusafisha vyoo huko Ulaya. Wengi wametoboa kupitia hizi njia na kazi za fedheha (kama wasomi wetu wa bongo wanavyoziita)
Masanja
Pale Oslo kuna Hotel moja iko juu ya kilima. Hawa watu walichonga tunnel (handaki) ndani ya mlima na ile tannel ikatokezea juu ya mlima na hapo wakajenga Hotel kwa ajili ya watalii. Walisema walikuwa na shida ya mawe wakaona kuliko kuharibu mazingira watoboe mlima wapate mawe ya kujengea na mazingira yabaki vivile. Kwa ubunifu wako vizuri. Ulaya ni Ulaya tu mtu asikudanganye. Mungu aliwapa akili za kufikiri na kuweza kutatua changamoto zao. Huku kwetu vibaka, wezi, wachawi, wezi wa pesa za serikali, kuwa na viongozi wasio na vision, kuwa na ndugu wengi wanaokutegemea, kukosa ajira, madawa ya kulevya ni baadhi ya mambo yanayoturudisha sana nyuma.
Na ndiyo hawa (wananchi) leo wanakwambia hatumpigii kura diamond kwenye tuzo za BET kisa ni mwanaCCM!...... Wananchi wanajali Sana siasa kuliko hata wanasiasa.
Baghosha...Mimi nadhani waswahili wengi hapa ndo tuna miss point. Mimi included!
Ok..Ulaya maisha magumu, kazi za box, baridi kali..nk. Lakini bongo maisha yakoje? mtu ameajiliwa anapata mshahara wa laki mbili, read again laki mbili! Hata dola mia haifiki! Professor wa University of Dar es salaam, aliyefundisha zaidi ya miaka 30..hapeleki nyumbani mshahara wa million tano! read again....five million! Pension system ndo hivyo..haieleweki... Kila mwenye ajira serikalini more than 80% wanategemea kuishi kwa ujanja ujanja na virushwa vidogo vidogo....mshahara haukutani na hauwezi kukidhi hata basic needs za mwanadamu! Serikali hata ingepeleka tons and tons za madawa hospitali..hao hao wahusika ndo wanapita mlango wa nyuma kuyauza hayo madawa. Wananchi wengi bongo wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kabisa....uhai hauna thamani tena! Wananchi Tunahusudu siasa za majungu na ujinga kuliko hata wanasiasa wenyewe...
Halafu leo unamshangaa Prof. Kabudi mwanasheria Nguli kafundisha mlimani miaka nenda rudi..anateuliwa uwaziri anamshukuru Rais kumtoa JALALANI? Sasa kama University of Dar ni Jalalani huko halmashauri za Songea na Kigoma si ni chooni kabisa?
Leo unapata wapi courage ya kudharau mtu anayebeba box kwenye winter na kulipwa dola 20 au 30 kwa lisaa (conservative estimates?). Unapata wapi courage ya kudharau watu kwamba wanaosha vyoo au kusafisha barabarani? Kwani kazi maana yake ni nini? Unakuta huyu huyu anayebeba mabox kwenye warehouse...anaishi maisha mazuri yenye kuthamini utu na kusaidia ndugu zake hapa Tanzania! Leo unasema wewe ni engineer bongo..wakati hata calvert za barabara zetu wanajenga fundi mchundo kutoka china? Daktari wa bongo akienda Ulaya hataweza kupractice..itabidi aanze upya..na bado huyo anapata guts za kudharau watu wanaosafisha vyoo ulaya?
Watanzania tuamke! Ndo maana hatuishi kugombana na serikali kwa hivi viajira ambayo hata huwezi kujitunza bila kuiba pesa za wavuja jasho wenzako.....achilia mbali kutunza familia!
Yes, Ulaya au US maisha siyo marahisi. Na wala hakuna sehemu maisha yalipo marahisi. Lakini ukiishi kwa discipline ukapambana..lazima utatoboa. Tatizo wengi wetu akili za umasikini zinatutesa sana. Bado tunaamini kwamba kazi ya maana ni ya kuajiriwa ofisini..hata kama unafanya kazi kwa muhindi unalipwa 150k!
Ushauri wangu..vijana amkeni mpambane. ukipata mchongo wa kwenda popote wewe nenda kafie mbele. Hata ukipata kazi ya ulinzi Syria au Yemeni kwa makampuni ya wamarekani ya ulinzi..nenda..usiogope kufa kwa mabomu. Inawezakana bongo usife kwa mabomu lakini ukafa kwa kugongwa na bajaji ambayo haina bima au kipindupindu!
Tuache negativities watanzania! Tupeane moyo wa kustruggle. Siyo kila anayeenda ulaya atapitia airport na passport na kusindikizwa na familia. au ni msomi anaenda kufanya masters kwa scholarship za wahisani....wengine ni watoto wa masikini. ..Mchongo wa Ulaya inabidi upambane mwenyewe bila baba fisadi wa kukutafutia scholarship za ujanja ujanja!
Imani yangu kubwa...watanzania songeni mbele mkatafute maisha. Hata akina Karl Peters, Livingstone, Columbus na wengine wengi... walitoboa wakaacha comfort zone zao wakaja huku kwetu "kuvumbua" dunia nyingine. Ni kupitia wao nchi zao zilitawala mataifa mengine na kuwa na dola kubwa kiuchumi! Tusiogope kufagia barafu au kusafisha vyoo huko Ulaya. Wengi wametoboa kupitia hizi njia na kazi za fedheha (kama wasomi wetu wa bongo wanavyoziita)
Masanja
Nchi ya ajabu sana hii mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]Na ndiyo hawa (wananchi) leo wanakwambia hatumpigii kura diamond kwenye tuto za BET kisa ni mwanaCCM!.
witnessj unamuonaje huyu alichoandika?
Mkuu mimi nitoe tu mfano halisia ..mwenzangu take home anayochukua na elimu aliyonayo ni mbingu na ardhi!
Mtu umesomea sayansi lakini mshahara unaolipwa ni matusi!
Wanajipaga moyo kusema serikalini kuna security..sijui security za aje .labda hawafi?
Sina nia mbaya...lakini had unaona specialist Dk anakuja kukuomba umkopeshe hela za riba mm bado haiclick! Tuseme ukweli..kama unalipwa kuanzia 300k hadi 1.5m pm bado ww usivimbe!naogopa kusema sana Mungu asije nishusha chini!
Bageshi. Shida wala siyo ma CCM (wala ye yote atakayekuja ambaye naamini naye atafanya yale yale tu). Your anger is misplaced na utaendelea tu kuwa disappointed tena na tena. Hata aje nani kutawala as long as mifumo ni ile ile hakuna kitakachobadilika labda kama lengo lako ni kubadili walaji.Kama livideo la majuzi la Pm Majaliwa sijui daily watu wanakwiba 400m ..! Mm ndo maana namchukia mtu yyt anayishadadia ccm! Mbwa hawa
Nina mwanangu anasambaza magazeti Uingereza ana maisha hapa bongo kukushinda wewe na ukoo wako wote.Acha kujidanganya, ukienda huko unakuwa mtumwa wa mfumo na ni vigumu kutoboa kwa ngozi nyeusi. Pesa unayopata inaishia kulipia nyumba na bili za maji, umeme, gesi, hapo inabidi upige vibarua kama mbwa na wakati mwingine kazi za usiku na baridi kali. Kupata kazi kwenye mfumo rasmi wa ajira ni ngumu labda uwe kichwa hasa.....wengi ambao mna wenge mnakuwa hamjawahi kufika, mmepashuhudia ulaya kwenye TV au kusimuliwa na watu kama mleta mada...
Mimi nimekuelewa...kwann kifanyike nchi zetu walau zifikie sehemu yenye walau unafuu?Bageshi. Shida wala siyo ma CCM (wala ye yote atakayekuja ambaye naamini naye atafanya yale yale tu). Your anger is misplaced na utaendelea tu kuwa disappointed tena na tena. Hata aje nani kutawala as long as mifumo ni ile ile hakuna kitakachobadilika labda kama lengo lako ni kubadili walaji.
Tazama jamii yetu. Inaamini mtu aliyesoma ni lazima awe tajiri. Yaani thamani ya elimu inapimwa kwa utajiri wa mtu. Ukipewa cheo halafu ukawa mwadilifu kabisa kabisa ukaja kuondoka hujaiba na kutajirika jamii hiyo hiyo inakucheka. Matokeo yake kila mtu akipata ka cheo lengo lake ni kuiba haraka haraka kabla hajaondolewa. Ndiyo maana wasomi wetu wanapigana vikumbo kwenye siasa. Waibe watajirike ili wasichekwe kuwa elimu yao haijawasaidia. Tofauti sana na wenzetu huko maughaibuni. Yaani kumkuta profesa anayekwenda kazini kwa baisikeli ni jambo la kawaida tu. Kazi yake kuu ni kufanya utafiti, kuandika mavitabu na kurithisha maarifa yake kwa vizazi vijavyo. Na jamii inamheshimu sana kwa mchango wake huo. Huku kwetu hata akina Albert Einstein wangechekwa kuwa elimu yao haijawasaidia kwa sababu hawakuwa matajiri!
Ona mishahara yetu. Haitoshi kumfanya mfanyakazi aishi. Na hili linajulikana wazi kuwa bila kuiba na kufisadika huwezi kupiga hatua yo yote achilia mbali kuishi kwa maisha ya heshima kama mfanyakazi. Katika mazingira haya na jamii ya aina hii, utawezaje kupata viongozi waadilifu wakati wote ni zao la mifumo ile ile? Ndiyo maana Afrika nzima, hata walikoweza kuondoa vyama tawala na kuweka wapinzani mambo ni yale yale. Rushwa, ufisadi na mifumo mibovu ile ile inaendelea.
Ndiyo maana mimi huwezi kunikuta nashabikia mwanasiasa kwa sababu kusema kweli hata wenyewe ni victims tu wa mifumo iliyopo. Na akitokea mmoja akajifanya ana uchungu anataka kuleta mabadiliko ya kweli na kupambana na rushwa, huyo atapingwa mno na hatachukua raundi atakufa tu - ama kwa mapinduzi au kwa kifo cha ajabu ajabu.
Matatizo yetu ni mazito zaidi ya hawa wanasiasa wetu walaghai hawa. But again zimwi likujualo laweza likakukula lisikumalize [emoji1545][emoji1545][emoji1545]