Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu

Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha

Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why unagundua jibu ni moja huna pesa

Hasa hasa linapokuja suala la kupata mchuchu mkali yaan kisu unajikuta hupati kabisa mademu wakali wanachukuliwa tu na washikaji wenye nazo au ambao wamezaliwa kwao zipo

Mimi binafsi nataka niwatetee hawa mabinti aisee bro umasikin ni mbaya umasikin ni majonzi umasikin ni huzuni umasikin Unatesa umasikin unahangaisha umasikin unahangaisha

Kikubwa tutafute pesa kwa nguvu huku tukimtanguliza mbele MFALME BABA ALIYETUUMBA. AMINA
haya mambo mengine yatakuja tu
LONDON BOY
 
Back
Top Bottom