Samantha Lewthwaite
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 298
- 729
Bwana nani?BWANA AKUBARIKI SANA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana nani?BWANA AKUBARIKI SANA
OkBWANA YESU
Ungewaelekeza tu vijana wapi wakapate hizo sambusa za 2000,3000 hadi 5000Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu
Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha
Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why unagundua jibu ni moja huna pesa
Hasa hasa linapokuja suala la kupata mchuchu mkali yaan kisu unajikuta hupati kabisa mademu wakali wanachukuliwa tu na washikaji wenye nazo au ambao wamezaliwa kwao zipo
Mimi binafsi nataka niwatetee hawa mabinti aisee bro umasikin ni mbaya umasikin ni majonzi umasikin ni huzuni umasikin Unatesa umasikin unahangaisha umasikin unahangaisha
Kikubwa tutafute pesa kwa nguvu huku tukimtanguliza mbele MFALME BABA ALIYETUUMBA. AMINA
haya mambo mengine yatakuja tu
LONDON BOY
Nabii Isa anagawa baraka kumbe?Au hutaki baraka za BWANA YESU?
Ok ok nightsHuyo ni YESU siyo isa shetani ni mswahili sana kawapoteza kabisa watu wa MUNGU juu ya YESU kwa kumbatiza jina la isa
Kwa kiarabu anaitwa Yashua siyo isa
Maisha ndugu nilienda somea upadre lakin nikatimuliwa kwenye nyumba ya malezi