KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Milango mingine imeegeshwa tu piga one kick it will get openedUsiseme hivyo kuna mda milango inakuwa imefungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milango mingine imeegeshwa tu piga one kick it will get openedUsiseme hivyo kuna mda milango inakuwa imefungwa
Trump Again.GACHAGUA the sixth
Nimeelewa kiongoziUmeelewa somo mama
Mda❎Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu
Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha
Mda mwingine huwa inauma sana pale unapoona kila binti anakupiga kibuti, kila binti anakutaa ukijiuliza why unagundua jibu ni moja huna pesa
Hasa hasa linapokuja suala la kupata mchuchu mkali yaan kisu unajikuta hupati kabisa mademu wakali wanachukuliwa tu na washikaji wenye nazo au ambao wamezaliwa kwao zipo
Mimi binafsi nataka niwatetee hawa mabinti aisee bro umasikin ni mbaya umasikin ni majonzi umasikin ni huzuni umasikin Unatesa umasikin unahangaisha umasikin unahangaisha
Kikubwa tutafute pesa kwa nguvu huku tukimtanguliza mbele MFALME BABA ALIYETUUMBA. AMINA
haya mambo mengine yatakuja tu
LONDON BOY
Sio❎Tutafute pesa lakini sio kwa lengo la kupata pesa ili tuwe na wanawake wengi au wazuri.
Jitaid❎Watenda dhambi wanawashilikisha vijana kwenye dhambi zao so nawe jitaid kuwashilisha vijana hiyo michongo
Maskini ❎Baba zao mbona ni maskini?
Nyie endeleeni kuendekeza usenge.
Njoo tugawane umaskiniMaskini ❎
Masikini✅
Pole,ulishindwa kukaza Sheria za SeminaryMaisha ndugu nilienda somea upadre lakin nikatimuliwa kwenye nyumba ya malezi
😊😊😊Nimeelewa kiongozi