Maisha ya umasikin ni mabaya sana kijana mwenzagu usimchukie binti pale anapokukataa sababu hauna pesa

Baba zao mbona ni maskini?

Nyie endeleeni kuendekeza usenge.
Tupo kipindi ambacho watu wanapenda zaidi pesa kuliko kitu kingine ili kutimiza mambo ya kidunia wanawake wengi mapenzi kwao yamekuwa fursa ya kibiashara halafu siku hizi wazee wanachangamkiwa na kina dada sehemu za huduma mbalimbali
 
Baba zao ni maskini sio maskini?

Mbona wameishi na mama zao?

Mabinti wa siku hizi hawaishi kwenye uhalisia kutwa kukesha mitandaoni, wanajilinganisha na watu, ndo maana wanaona pesa kama inaokotwa vile.

Hata wanaume, kaa na vijana wa chuo usikilize mipango yao uone.
 
Tupo kipindi ambacho watu wanapenda zaidi pesa kuliko kitu kingine ili kutimiza mambo ya kidunia wanawake wengi mapenzi kwao yamekuwa fursa ya kibiashara halafu siku hizi wazee wanachangamkiwa na kina dada sehemu za huduma mbalimbali
Wazee wana pesa na wanahonga sio kama vijana ndo maana vijana tunapigwa vibuti
 
Ni kweli kabisa ubaya wa umaskini bmi mkubwa mno, maskini havumiliki, hapendeki , hana ladha,hastahili chochote chema na kizuri!
It's okay lakini huyo binti aambiwe kabisa tusije kusumbuana huko mbeleni maana wakati haudumu na umaskini upo kwa wakati tu.
 
Pande zipi ?
Nipo Manyanya hapa Kinondoni kwa Tarimba
Nilipata ghetto hilo eneo lakin nikashindwa kulipia
Sababu ya zambi za huo mtaa nikajua KRISTO akishuka hawezi uacha salama huo mtaa
 
Back
Top Bottom