Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Tupo kipindi ambacho watu wanapenda zaidi pesa kuliko kitu kingine ili kutimiza mambo ya kidunia wanawake wengi mapenzi kwao yamekuwa fursa ya kibiashara halafu siku hizi wazee wanachangamkiwa na kina dada sehemu za huduma mbalimbaliBaba zao mbona ni maskini?
Nyie endeleeni kuendekeza usenge.
Baba zao ni maskini sio maskini?Tupo kipindi ambacho watu wanapenda zaidi pesa kuliko kitu kingine ili kutimiza mambo ya kidunia wanawake wengi mapenzi kwao yamekuwa fursa ya kibiashara halafu siku hizi wazee wanachangamkiwa na kina dada sehemu za huduma mbalimbali
Hahaha ila weweeTrump Again.
Wazee wana pesa na wanahonga sio kama vijana ndo maana vijana tunapigwa vibutiTupo kipindi ambacho watu wanapenda zaidi pesa kuliko kitu kingine ili kutimiza mambo ya kidunia wanawake wengi mapenzi kwao yamekuwa fursa ya kibiashara halafu siku hizi wazee wanachangamkiwa na kina dada sehemu za huduma mbalimbali
Aisee😃😂😊😊😊
Umejibu kwa upole sana
Vipi lakini uko poa ?🤓Aisee😃😂
Nko good,. Karibu tupunge upepoVipi lakini uko poa ?🤓
Pande zipi ?Nko good,. Karibu tupunge upepo
Kweli mkuu, ni vizuri kuwaachia akina Vincenzo Jr nao watambe...Hakuna pick isiyo na mwisho kaka
Lakin pia umri ndugu yangu
AbeehSamantha