Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Shalom,
90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa.
Na wanawake kwa asili wao wanapenda vitu na kwa asili pia ni wabinafsi sana na hawanaga urafiki wa kudumu na mwanaume bila faida ya vitu ama pesa.
Mwanamke akijipata akiwa kwenye ndoa ndipo akili yake ya kujutia kuolewa kwa sababu ya shida inamjia.
Mwanamke ni kiumbe anaeijua leo tu hajui jana wala kesho.
Mwanamke akionja kunyandua nje ya ndoa utayajua mashetani yake yote.
Mwanamke akipata huwakumbuka Maex wake kama harufu ya mshikaji.
Ni kosa kuoa au kuishi na mwanamke mwenye amejipata kwenye kipato, mwenye Cheo au madaraka na ana maendeleo yake hasa kiuchumi.
Nini kifanyike mwanaume wewe mzalishe mwanamke watoto wawili, watatu au wanne kisha mpatie nyenzo za kiuchumi aendelee na maisha yake mzalishe akiwa anaishi mwenyewe huku ukimpa support ya kiuchumi basi.
Wanaume wengi 90% hawana furaha ndani ya ndoa kwa sababu walioa wanawake fake, hawapati heshima, hakuna utii hakuna unyenyekevu, wanawake viburi, wajeuri, madharau, wajuaji, wanajifanyia mambo bila ruhusa wala taarifa.
Nawapa pole walio kwenye ndoa na wakitizama hasara za kiuchumi za kuachana wanaona Bora wavumilie mimi hawa nawaita ni vibwengo na wanaume mdundiko.
Mwanaume anaemvumilia mwanamke mpumbavu huyo mwanaume ni ndezi mfano wa mashoga.
Ubaya Ubwela Matokea ni mbegu ya shamba lako mwenyewe.