Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishije sehemu yenye amani tele? si unaweza ukadhani umo kaburini.Hivi unakaaaje sehemu hamna amani?
Sahihi.Ule mkataba wa ndoa mkuu ni hatari sana kwa mwanaume., ukipiga hesabu ya hasara za kiuchumi sio mchezo. Unatakiwa uondoke kwenye nyumba uliyojenga wewe mwenyewe umuache mke na mtoto, kama kuna mali zilipatikana ndani ya ndoa zinapogwa pasu kwa pasu na unatakiwa kutoa pesa kwa ajiri ya matunzo ya mtalaka wako na watoto.
Waliooa tunakesha nao bar kila siku majumbani kwao panawaka moto.
Tupo.
Hapa sasa waje walioolewa watupe mwongozo
Sijaoa Bado na sioni daliliUmeowa? Au ulishawahi oa? Una mtoto/watoto?
Pata watoto wako wawili watatu ukae utulieUle mkataba wa ndoa mkuu ni hatari sana kwa mwanaume., ukipiga hesabu ya hasara za kiuchumi sio mchezo. Unatakiwa uondoke kwenye nyumba uliyojenga wewe mwenyewe umuache mke na mtoto, kama kuna mali zilipatikana ndani ya ndoa zinapogwa pasu kwa pasu na unatakiwa kutoa pesa kwa ajiri ya matunzo ya mtalaka wako na watoto.
Waliooa tunakesha nao bar kila siku majumbani kwao panawaka moto.
Hata siku moja usijidanganye mwanamke yupo na wewe kwa sababu anakupenda, ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajatokea mwanaume mwingine wa kumuwekea mezani dau kubwa kuliko analolipata kutoka kwako.Mkuu umesema real kuna my bro aliachwa na mke wake na watoto wawili baada ya kumtafuta alimwambia "Sijui ilikuwaje nikakubali kuolewa na wewe mwanaume mwenyewe mzee " wakati alipokuwa anamchumbia alimuona kabsa bro alivyo na alimkubalia na kufanya harusi
Baadhi ya Wanawake ni complicates sana akiona sehemu kuna unafuu kuliko sehemu alipo ni chapu anakimbilia
Basi huwezi elewa. Na wala usijiingize kujibu maswali ambayo huyajui.Sijaoa Bado na sioni dalili
Tuseme nn tena mtoa mada kashamaliza yote, hapo ndio dunia ilipotufikisha kuwa makini ukiwa unatafuta mke.
Sio Wote wapo hivyo wengine wapo vinginebado hamjasema!!
For this case uliyosimulia, naweza kukulipa kwa case kadhaa za wanawake walioolewa na wanaume baadaye wakaachwa tena kwa kuwaambia “uliniroga wewe”.Mkuu umesema real kuna my bro aliachwa na mke wake na watoto wawili baada ya kumtafuta alimwambia "Sijui ilikuwaje nikakubali kuolewa na wewe mwanaume mwenyewe mzee " wakati alipokuwa anamchumbia alimuona kabsa bro alivyo na alimkubalia na kufanya harusi
Baadhi ya Wanawake ni complicates sana akiona sehemu kuna unafuu kuliko sehemu alipo ni chapu anakimbilia
Aisee 🤔Ule mkataba wa ndoa mkuu ni hatari sana kwa mwanaume., ukipiga hesabu ya hasara za kiuchumi sio mchezo. Unatakiwa uondoke kwenye nyumba uliyojenga wewe mwenyewe umuache mke na mtoto, kama kuna mali zilipatikana ndani ya ndoa zinapogwa pasu kwa pasu na unatakiwa kutoa pesa kwa ajiri ya matunzo ya mtalaka wako na watoto.
Waliooa tunakesha nao bar kila siku majumbani kwao panawaka moto.