Maisha ya wenye Ndoa wengi kwa Karne hii ni Ubaya Ubwela, tuwe Wakweli Ndoa nyingi ni Gereza la hiari kwa Wanaume

Ule mkataba wa ndoa mkuu ni hatari sana kwa mwanaume., ukipiga hesabu ya hasara za kiuchumi sio mchezo. Unatakiwa uondoke kwenye nyumba uliyojenga wewe mwenyewe umuache mke na mtoto, kama kuna mali zilipatikana ndani ya ndoa zinapogwa pasu kwa pasu na unatakiwa kutoa pesa kwa ajiri ya matunzo ya mtalaka wako na watoto.
Waliooa tunakesha nao bar kila siku majumbani kwao panawaka moto.
Sahihi.

Lakini kabla ya kufika huko mshawishi uwezavyo kama kulewa mshawishi anywe pombe nk

Mwisho wa siku kaichukulie mkopo hiyo nyumba halafu nenda kajenge sehemu nyingine na umuandishe mama Yako ama baba Yako mzazi.

Vitu vya ndani kabla nyumba haijapigwa mnanda Anza kuuza taratiiiiiibu Kwa kisingio Cha uchumi.

Mwisho unaitelekeza familia wife na watoto wako. Nyumba ikipigwa mnanda waambie Watoto waende Kwa bibi Yao uliko Jenga. Muda huo nawewe unajifanya umefugwa na mama.

Nakwambia atalia Hadi anye lakni hataona Nzi yoyote akishobokea kinyesi chake.

Nimemaliza
 
Ule mkataba wa ndoa mkuu ni hatari sana kwa mwanaume., ukipiga hesabu ya hasara za kiuchumi sio mchezo. Unatakiwa uondoke kwenye nyumba uliyojenga wewe mwenyewe umuache mke na mtoto, kama kuna mali zilipatikana ndani ya ndoa zinapogwa pasu kwa pasu na unatakiwa kutoa pesa kwa ajiri ya matunzo ya mtalaka wako na watoto.
Waliooa tunakesha nao bar kila siku majumbani kwao panawaka moto.
Pata watoto wako wawili watatu ukae utulie
 
Mkuu umesema real kuna my bro aliachwa na mke wake na watoto wawili baada ya kumtafuta alimwambia "Sijui ilikuwaje nikakubali kuolewa na wewe mwanaume mwenyewe mzee " wakati alipokuwa anamchumbia alimuona kabsa bro alivyo na alimkubalia na kufanya harusi

Baadhi ya Wanawake ni complicates sana akiona sehemu kuna unafuu kuliko sehemu alipo ni chapu anakimbilia
 
Hata siku moja usijidanganye mwanamke yupo na wewe kwa sababu anakupenda, ukweli ni kwamba yupo na wewe kwa sababu hajatokea mwanaume mwingine wa kumuwekea mezani dau kubwa kuliko analolipata kutoka kwako.

All women are hoes, is just a matter of acceptable price
 
Mkuu umesema real kuna my bro aliachwa na mke wake na watoto wawili baada ya kumtafuta alimwambia "Sijui ilikuwaje nikakubali kuolewa na wewe mwanaume mwenyewe mzee " wakati alipokuwa anamchumbia alimuona kabsa bro alivyo na alimkubalia na kufanya harusi

Baadhi ya Wanawake ni complicates sana akiona sehemu kuna unafuu kuliko sehemu alipo ni chapu anakimbilia
For this case uliyosimulia, naweza kukulipa kwa case kadhaa za wanawake walioolewa na wanaume baadaye wakaachwa tena kwa kuwaambia “uliniroga wewe”.

Wanawake na wanaume wote complicated kwenye mahusiano. Wanawake na wanaume sote tunafuata kitu kwenye ndoa na tusipokipata au tukipata bora zaidi tuna uwezekano mkubwa wa kutaka kutoka.

Tusitiane ubaya usio na kichwa wala miguu.
 
Ule mkataba wa ndoa mkuu ni hatari sana kwa mwanaume., ukipiga hesabu ya hasara za kiuchumi sio mchezo. Unatakiwa uondoke kwenye nyumba uliyojenga wewe mwenyewe umuache mke na mtoto, kama kuna mali zilipatikana ndani ya ndoa zinapogwa pasu kwa pasu na unatakiwa kutoa pesa kwa ajiri ya matunzo ya mtalaka wako na watoto.
Waliooa tunakesha nao bar kila siku majumbani kwao panawaka moto.
Aisee 🤔
 
287:28 1Kor 7:36Lakini kama ukioa, hujatenda dhambi; na kama bikira akiolewa, hajatenda dhambi. Lakini wale wanaooa watakabiliana na matatizo mengi katika maisha haya, nami nataka kuwazuilia hayo
 
Back
Top Bottom