Maisha ya wenye Ndoa wengi kwa Karne hii ni Ubaya Ubwela, tuwe Wakweli Ndoa nyingi ni Gereza la hiari kwa Wanaume

Swali zuri,

Tunachotaka sie wanaume wengi ni kuwa mwanamke akiwa na sisi kwenye ndoa, kitu cha kwanza kinachotakiwa kiwe kimemleta ni kuwa anatakiwa awe amevutiwa na muonekano wetu wa nje k.v urefu, sura, rangi, yani kwa kifupi mwanamke awe na hisia na sisi, kama ni huduma za kipesa kwa ke mwanaume anaejielewa atatoa tu.

Shida ni kuwa mwanamke anakuwa hana hisia na mwanaume, ila anakuwa Yuko na mwanaume sababu ya hela tu, hiyo kitu ndo inatuuma sisi wanaume, ndo maana tunaiita ndoa feki. Zurie
 
Nakazia
 
Wanaume mnaoteseka na NDOA mmejitakia wenyewe, endeleeni kuteseka maana mmeshupaza shingo zenu
NDOA NI UTAPELI NA MATESO KWA MWANAUME
KATAA NDOA ISHI KWA FURAHA unavuja jasho asubuh mpaka jioni na hiyo hela ukiipata unaenda kumpa mtu badala ya kushukuru ananua eti haitoshi!
Poleni sana enyi wanaume mliojivika kitanzi NDOA
 
Hii kuna mwamba mmoja aliifanya,jamaa alikuwa mfanyabiashara Kariakoo akaanza kidogo kidogo kuhamisha Biashara yake Arusha duka na store vitu vinapungua tuu anamwambia mkewe biashara ngumu tuchukue mkopo bank. Kweli wakaenda NMB kuchukua mkopo bond ikawekwa nyumba jamaa akawa halipi rejesho Bank wakaja kuoiga nyumba mnada,lakini kabla hawajajaa kuoiga mnada jamaa akamwambia mke kuwa tuachane demu anaanza kelele za talaka na kugawana mara bank na dalali wa kuuza nyumba hawa hapa,nyumba ikauzwa na mke ikala kwake maxima.
 
Pata watoto wako wawili watatu ukae utulie
Yaani watoto ndio watakufanya uharibikiwe kimwili,kiakili na ustawi wako kisa watoto,yaani uvumilie kero na mateso ya ndoa kisa watoto? Sasa hao watoto utawahudumia vipi ukishakuwa umevugwa kiakili na kimwili sababu ya ndoa?
 
Yaani ukishaona dalili zisizo someka sanuka mapema aambulie manyoya ni akiri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…