Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Woooow'...!
What a beautiful testimony..!
Mungu azidi kuwatunza Prince..! Muendelee kupendana na kuwa na furaha daima..! Ameen.!
thanks sana...japo nyingine huwa zinabuma...ila kwa upande wangu tunavumiliana na kwa tulipo fikia kama hatuku achana atuto achana tena kwakweli.
 
Hi guys,

Hope mmekuwa na mapumziko poa,

Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.

Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?

This is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto yoyote? Kuna utofauti mkubwa sana? Mko na furaha? Matarajio yako yamefikiwa? Are you thanking God for that? And why?

Please, Mr. Liverpool VPN and the Co, this ain't your cup of tea.

Niko nimekaa pale nasubiri miujiza na shuhuda zenu mbalimbali.
Sijaoa na sina mpango wa kuoa hivi karibuni. Lakini nimeskia skia tu eti kweny situation kama hizi wanawake huwa wanaharibu mapema sana
 
Wanawake ambao nawaona ndo dream women wangu, wote nikiwatongoza wananikataa.

Nikitongoza nakubaliwa tu na wadada ambao siwapendi na nawachukulia poa.. Carleen
10june 2022 nilikua na kikao muhimu nilitegemea yes I Do.,..nikajibiwa tue just friends
The moment we share iz amaizing....wanaume huwaga tuna choice 1,2,3,4..Etc
Nilichoose mtu anae nipenda yeye...mtu ambae atanipenda hata nikiwa kwenye wheel chair ntajifunzaa kumpenda.....

Love iz love my people.....
 
Huu ndo uamuzi sahihi..mwache aende

Kwa kweli
Sasa huyo tulipendana na mwisho nikaja kuoa mwingine
Haya nabaki kuwa nampenda au kumkumbuka ili iweje!?

Hata kama nilimpenda sasa kuendelea kuwa na mawasiliano nae eti siwezi kumsahau hell no
Awe mchepuko na mke nyumbani
What’s the point of getting married then?
Kama bado unampenda wa zamani funga ndoa nyingine au sio
Hili la kupenda bado mpenzi wa udogoni au shule au jirani yalipita na sasa una maisha tofauti

Mpaka unazeeka wapendwa watakuwa wanao tu mengine mbwembwe
 
Back
Top Bottom