Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Kabisa...Mambo yangu umeniachia mwenyewe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa...Mambo yangu umeniachia mwenyewe??
thanks sana...japo nyingine huwa zinabuma...ila kwa upande wangu tunavumiliana na kwa tulipo fikia kama hatuku achana atuto achana tena kwakweli.Woooow'...!
What a beautiful testimony..!
Mungu azidi kuwatunza Prince..! Muendelee kupendana na kuwa na furaha daima..! Ameen.!
Coz u deserve it ❤️Haka kajina nimeitwa mpaka nimeskia raqha walaqhi'..!
Sijaoa na sina mpango wa kuoa hivi karibuni. Lakini nimeskia skia tu eti kweny situation kama hizi wanawake huwa wanaharibu mapema sanaHi guys,
Hope mmekuwa na mapumziko poa,
Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.
Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?
This is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto yoyote? Kuna utofauti mkubwa sana? Mko na furaha? Matarajio yako yamefikiwa? Are you thanking God for that? And why?
Please, Mr. Liverpool VPN and the Co, this ain't your cup of tea.
Niko nimekaa pale nasubiri miujiza na shuhuda zenu mbalimbali.
Mi nshatuliA aisee. Kitambo tu. Sasa hivi ni kuweka mambo mengine sawa ili baadae nisiwe baba jina tuUkitulia you're smart enough ila mpaka utulie tumekoma..!
I like that one, kuna kitu muhimu umeniongezea sana.!!
Just tell me,nimtag nani na nani ambao unawajua wao ni rahisi kusambaza habari🤣🤣aaaanh'.....!
Naomba dunia yote isikie hili tafadhali.!
Kuna kitu kinaitwa kujifunza kupenda...
10june 2022 nilikua na kikao muhimu nilitegemea yes I Do.,..nikajibiwa tue just friendsWanawake ambao nawaona ndo dream women wangu, wote nikiwatongoza wananikataa.
Nikitongoza nakubaliwa tu na wadada ambao siwapendi na nawachukulia poa.. Carleen
Huu ndo uamuzi sahihi..mwache aendeKuna kitu kinaitwa kupotezea yule uliekuwa unampenda
Nimeskia tu kwamba aliekuaga na qualities anazozihitaji akijisogeza hata kama yuko ndani ya ndoa inakuwa hatari. Sina evidence lakini nimeskia tu kwa mtuyou can't be serious,
Wanawake tena.?
Huu ndo uamuzi sahihi..mwache aende