Okoka mpokee Kristo maana yeye ndiye mfalme wa amani....hakika utapata amani unayoitafuta.Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Ibada,mke then watoto,pesa na mali hazijawahi kuleta furaha ya kudumu,ila ukikaa vizuri kwenye ibada na kuenenda sawa sawa na neno la Mungu utakuwa na vyote furaha,amani,pesa na mali (Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa).Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Hakika mkuu, nimeishi sana. Sana yaniUlishawahi kuishi maisha ya ufukara?
Huyu mwamba kwanza aoe ajaribu na huko labda atakuwa na furaha! Ila akiangukia kichomi napo ni shida juu ya shida!Mimi nadhani ni pesa mana hata ukiboreka unakwea pipa huyooo maldives
Utaambiwa kila kitu ila hakikisha kila wiki unapata sex kabla hujapata msongo wa mawazoMmmh!
Ndoa nazo ni mtihani sana. Ni muhimu kuwa na furaha kwanza kabla ya kutafuta namna ya kumfurahisha mwingineMtafute awe mama was nyumbani!unaweza mfungulie kabiashara hapo hapo nyumbani awe bize kidogo!!
Utapata furaha kidogo japo baadae ikitokea utajipanga tena!!
Angalau uitwe baba na upate watoto unawakuza kwako mwenyewe mkuu hata wakuite "Baba"!!
Pesa pekee haitoshi Wala ajira Wala elimu!!
Hats make akizingua tayari una ndugu zako watoto!usiache hilo!
Sexy sio Tiba mkuu. Jaribio lolote la kufanya sexy linahitaji maandalizi angalau ya miezi mitatu. Yaani mpime afya zaidi ya mara moja. Tofauti na hapo, ni ngumu.Utaambiwa kila kitu ila hakikisha kila wiki unapata sex kabla hujapata msongo wa mawazo
πππJuzi mwenzio amtuliza sana pale airport, wenzake wanapokelewa na watoto yeye anapokelewa na Bobby! Oa ndugu upate familia labda utapata furaha!
Na uzuri umesema angalau kimaisha uko vizuri. Sasa hapo kama uko njema kimaisha hebu oa mkuu tafuta binti wa kukufaa hata kama ni wa kijijini, achana na hizi Manzi za mjini zinazojidai zimesoma zitakusumbua!!πππ
Nakubaliana na wewe,hela nyingi sometime inaondosha hata Amani kidogo uliyokuwa nayo,hela ya wastani itakukamilishia mahitaji yako ya msingi vikiwemo vitu vinavyokuongezea raha kwenye maisha yako!!Hakika mkuu, nimeishi sana. Sana yani
Yah, actually hutakiwi kukosa kabisa pesa. Pesa ni nyenzo tu so si vyema kuifanya a primary source of happyness.Nakubaliana na wewe,hela nyingi sometime inaondosha hata Amani kidogo uliyokuwa nayo,hela ya wastani itakukamilishia mahitaji yako ya msingi vikiwemo vitu vinavyokuongezea raha kwenye maisha yako!!
UKikosa hela kabisa hiyo amani na furaha unaipata wapi?
Asante sana. Furaha hutoka ndani. Mechanism hii ndio naitafuta mkuu. Nini nifanye nijione nikiwa na furaha.Furaha ipo ndani yako, usifikiri inatoka nje au inaletwa na familia au mke, la hasha! Unaweza ukatafuta mtaalamu wa saikolojia akakusaidia zaidi pia.
πππFuraha ni maamuzi, Being happy is choice π Biblia inakwambia usiogope, wala usifadhaike (kuna mambo mengi ya kuogofya na kufadhaisha) Lakini wewe chagua kufurahi, Jaribu kujiuliza nini unapendelea
1.Vitabu?nature?Muziki?Filamu?
2.Tembelea maeneo tofauti nje ya unapokaa! Badilisha hata sehemu unayokula
3.Kutana na marafiki wapya (angalizo hakikisha una amani moyoni kabla hujaenda)
4.Kama kuna mtu umemkosea ni vyema kumuomba msamaha, Kama ulikosewa samehe pia ni kwaajili ya afya yako π
nakuacha na andiko
FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE TENA NAWAAMBIA FURAHINI ππππAre you happy now?
πππ
Ni ujumbe mzuri. Nina imani nitakuwa na furaha kama nikijifunza kukubali kwamba mimi ndiye mwenye chanzo cha hiyo furaha.Furaha ni maamuzi, Being happy is choice π Biblia inakwambia usiogope, wala usifadhaike (kuna mambo mengi ya kuogofya na kufadhaisha) Lakini wewe chagua kufurahi, Jaribu kujiuliza nini unapendelea
1.Vitabu?nature?Muziki?Filamu?
2.Tembelea maeneo tofauti nje ya unapokaa! Badilisha hata sehemu unayokula
3.Kutana na marafiki wapya (angalizo hakikisha una amani moyoni kabla hujaenda)
4.Kama kuna mtu umemkosea ni vyema kumuomba msamaha, Kama ulikosewa samehe pia ni kwaajili ya afya yako π
nakuacha na andiko
FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE TENA NAWAAMBIA FURAHINI ππππAre you happy now?
Ni kweli tumezaliwa ili tufeYaani unaweza waza mambo mengi sana lakini kumbe tumezaliwa ili tufe
Hatua ya kwanza ni kutambua utambulisho wako, je, wewe ni nani?Asante sana. Furaha hutoka ndani. Mechanism hii ndio naitafuta mkuu. Nini nifanye nijione nikiwa na furaha.