mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Una hisia za kigaidi, jitahidi usije kujiua ukapewe majini 72 aheraHabari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
ππUna hisia za kigaidi, jitahidi usije kujiua ukapewe majini 72 ahera
SafiKila mtu ana namna ya kujiletea furaha, haiwezi kufanana mtu na mtu.
Wewe angalia unachoona unakipenda na unahisi ukikifanya utapata AMANI ya moyo >Furaha.
Unaweza tenga muda kila weekend kwenda maeneo kwa ajili ya kubarizi (Kama sio mnywa pombe), kula, kunywa pata music uupendao, kutana na watu wapya, rudi nyumbani ukiwa mwepesi kabisa.
Yeah huo ndio ukweli ukichunguza vzr hatuna utofauti na kuku, mbuzi au ng'ombeYaani unaweza waza mambo mengi sana lakini kumbe tumezaliwa ili tufe
Pole sanaHabari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Kitakachokupa furaha huwezi kukijua kabla ya hiyo furaha hujapataHabari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
True mkuuNi kweli mkuu, nahisi pia huwa ni kwa watu wachache wanakuwa hivyo.
Furaha huanza na wewe Mwenyewe.Tengeneza Furaha yako kwanza kwa kufanya vitu unavyovipenda.Mtu mwingine hawezi kukupa Furaha kama moyo wako una huzuni.Jipe Furaha Mwenyewe.Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Yeah nakaziaAwe na pesa hayo mengine yatakuja automatic.
Ungekuwa unakula kijiti plus kusikiliza mziki mzuri ungeishi a very very peaceful and happy lifeHabari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
ππUngekuwa unakula kijiti plus kusikiliza mziki mzuri ungeishi a very very peaceful and happy life
Kijiti kinafuta all negative energies ndani yako na kukufanya uwe focused pia kinakuondolea fear, upweke, majuto,ππ
Ili ale kitimoto kwa kificho kama unavyofanya wewe?Awe Muislam.
Kwa kificho wewe ungejuwaje? Wazi wazi tu.Ili ale kitimoto kwa kificho kama unavyofanya wewe?