Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?

Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.

Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Una hisia za kigaidi, jitahidi usije kujiua ukapewe majini 72 ahera
 
Kila mtu ana namna ya kujiletea furaha, haiwezi kufanana mtu na mtu.

Wewe angalia unachoona unakipenda na unahisi ukikifanya utapata AMANI ya moyo >Furaha.

Unaweza tenga muda kila weekend kwenda maeneo kwa ajili ya kubarizi (Kama sio mnywa pombe), kula, kunywa pata music uupendao, kutana na watu wapya, rudi nyumbani ukiwa mwepesi kabisa.
Safi
 
Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?

Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.

Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Pole sana
 
Kitakachokupa furaha huwezi kukijua kabla ya hiyo furaha hujapata
 
Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?

Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.

Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Furaha huanza na wewe Mwenyewe.Tengeneza Furaha yako kwanza kwa kufanya vitu unavyovipenda.Mtu mwingine hawezi kukupa Furaha kama moyo wako una huzuni.Jipe Furaha Mwenyewe.
 
Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?

Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.

Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Ungekuwa unakula kijiti plus kusikiliza mziki mzuri ungeishi a very very peaceful and happy life
 
Kuna watu watakuja na quote za ajabu ajabu hapa et

*"" Wengi wenye pesa hawana maisha ya furaha""

Ahahahah fvckn
 
Back
Top Bottom