Malaika - Gabrieli na MikaeliGabrieliMara nyingi katika maandiko malaika au malaika wa Bwana ametajwa.Huyu kwa kawaida ni Gabrieli, ambaye ndiye Mungu RohoMtakatifu katika sura ya malaika. Yeye daima huja kufariji, kuelekeza,kuongoza na kudhihirisha mapenzi ya Mungu na kweli.Kwa mfano, wakati wa azimio la Yohana Mbatizaji katika Luka1:11-13 "Akatokewa na malaika waBwana, amesimama upande wakiume wa madhabahu ya kufukizia. Zakaria alipomwona alifadhaika, hofuikamwingia. Lakini Yule malaikaakamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabetiatakuzalia mtoto mwanamume, na jina lake utamwita Yohana." Luka 1:18-19 "Zakariaakamwambia malaika, nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu nimkongwe wa siku nyingi. Malaikaakamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli,nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizinjema."Wakati wa azimio la Yesu katika Luka 1:26-31 "Mwezi wasita, malaika Gabrieli alitumwana Mungu, kwenda mpaka mji wa Galilaya jina lake Nazareti. Kwa mwanamwalibikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu wa mbari ya Daudi; na jina lake bikirahuyo ni Mariamu. Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema,Bwana yu pamoja nawe. Naye akafadhaika sanakwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani? Malaikaakamwambia, Usiogope,Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu. Tazama, utachukua mimba na kuzaamtoto mwanamume; na jina lake utamwita YESU." Pia tunasoma katika Danieli 8:16 "Nikasikia sauti ya mwanadamu katikati yamto Ulai, iliyoita na kusema, Gabrieli,mfahamishe mtu huyu maonohaya." Pia Danieli 9:21 "Naam, nilipokuwa nikinena katika kuomba, mtuyule, Gabrieli, niliyemwonakatika njozi hapo kwanza, akirushwa upesi, alinigusa panapo wakati wa dhabihuya jioni."Gabrieli ananena katika Danieli 10:21 "Lakini (Gabrieli)nitakuambia yaliyoandikwa katika maandiko ya kweli: wala hapana anisaidiaye juu ya hao ila huyo mikaeli, mkuu wenu."MikaeliWakati mwingine "malaika" wa Bwana aliyetajwa katikamaandiko ni Mikaeli, ambaye ni Mungu aliye Neno katikasura ya malaika. Isaya 9:6 "Maanakwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalmeutakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenyenguvu, Baba wa milele, Mfalme waAmani." Pia Danieli 12:1 "Wakatihuo Mikaeli atasimama, jemadarimkuu asimamaye upande wa wana wa watu wako; na kutakuwa na wakati wataabu, mfano wake haukuwapo tangu lilipoanza kuwapo taifa hata wakati uo huo:na wakati huo watu wako wataokolewa; kila mmoja atakayeonekana ameandikwakatika kitabu kile." Maana Yesu ameketimkono wa kuume wa Mungu, hata hivyo, mwishoni, atakaposimama, kutakuwepo namateso mengi juu ya nchi. Ufunuo 12:7 "Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, Yule joka nayeakapigana nao pamoja na malaika zake." Tunasoma katika Hesabu 22:23 "Na Yule punda akamwona malaika wa BWANA amesimamanjiani, na upanga wakemkononi mwake, amekwisha kuufuta; punda akageuka upande ili kuiacha njia,akaingia shambani. Balaamu akampiga punda ili kumrejeza njiani." Pia tunasoma katika Yoshua 5:13-14 "Ikawa hapo Yoshuaalipokuwa karibu na mji wa Yeriko, akavua macho yake na kuangalia, na tazama, mtu mume akasimama kumkabilimbele yake, naye alikuwa na upangawazi mkononi mwake; Yoshua akamwendea, na kumwambia, Je! Wewe u upandewetu, au upande wa adui zetu! Akasema, La, Lakini nimekuja sasa, nili amiri wa jeshi la BWANA. Yoshuaakapomoka kiusouso hata nchi, naye akasujudu, akamwuliza, Bwana wangu aniambia nini mimi mtumishi wake?"