Majadiliano kati ya Lissu na shahidi wake hayawezi kuwa sehemu ya ushahidi mahakamani

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
 
uko sahihi 100%👍
 
Jaji ni Mwanasheria
Lisu ni Mwanasheria
Wewe ni nani?
Jaji alivyomuuliza Lisu jaji naye alijibu kuelewa. Hayo unayoyaandika hapo ni fikra yako tu isiyo rasmi
 
Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Kama majadiliano aliyoyaleta Lissu mahakamani hayajaingia kwenye rekodi mbona jaji Ndunguru alisema umeeleweka na tunafunga upelelezi.

Kwa akili yako ukienda mahakamani kumwombea ruhusa mtu ruhusa hiyo haipokelewi kwa vile mlijadiliana nje ya mahakama. Mwanasheria kanjanja.
 
Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Unaielekeza mahakama au umepaniki?

Lisu ametuambia public nini amehitimisha na shahidi wake.

Kiufupi mmekalia msumari wa moto
 
Mliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.
This time hamchomoki kwa kuwa mmekutana na wajuvi wa sheria
 
Lissu ana akili sana alijua haya yatatokea, ndio maana alikubali haraka haraka kufunga utetezi wake.

Kwa kesi kubwa kama hii unamleta Yeriko awe shahidi unaacha mashahidi muhimu kama DGIS, Yeriko atasaidia nini kwani yeye ndiye aliyetaka kupinduliwa.
 
Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Kwani hukumu ya hiyo kesi inajali ushahidi, ama itatekeleza maagizo?Kama kwenye vituo vya kura hakukuwa na wapiga kura 31m, lakini rais akatangazwa kwa kura 31m. Aliyetoa maagizo ya kutangazwa rais kwa kura zile za uongo, ndio anayeagiza sasa hukumu iandikwe vipi, na sio ushahidi ulikuwa vipi mahakamani.
 
Hakuna aliyewahi kuhukumiwa na akakubali hukumu
 
Mliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.
This time hamchomoki kwa kuwa mmekutana na wajuvi wa sheria
Huyo jaji anaogopa nini, kama jaji mwenzake Mwambegele alimtangaza Samia kwa kura za uongo 31m kukiwa na mauaji ya kutisha, na bila idadi hiyo ya wapiga kura vituoni?
 
Uko sahihi kwa asilimia 100
Mimi naona hii issue imekaa ki-mtego mtego. 1. Mahakama ilikubaliana na hoja ya Lissu kuwa hawa mashahidi ni watu muhimu kwenye kesi kutoa ushahidi na ikatoa summons waitwe. 2. Shahidi mmoja kaja kama alivyoitwa (navyojua mimi kukataa wito kama huu ni kosa kisheria) 3. Baada ya kuja, anamwambia mshtakiwa kuwa hataki kuwa shahidi wake na anataka apatikane na hatia 4. Lissu anaenda kwa majaji na kusema kuwa Kingai amekataa kuwa shaidi yake na hivyo anafunga ushahidi. Swali: Je Lissu angeweza kusema ''"My Lord, Kingai has been summoned as a material defence witness. He is here, but he refuses to testify. I ask the court to require him to take the stand." Kwa ni hakutaka kufanya hivyo wakati mahakama ilishakubali kuwa ushahidi wa hawa watu ni muhimu? 5. Itathibishwa namna gani kuwa hata hao wengine kina Mkunda, ni kweli wamemtuma Kingai kusema hivyo? Je, hii ina implication yoyote kwenye hii kesi siku za mbele iwe Lissu amepatikana na hatia au la? Kwa nini watu ambao wanataka Lissu afungwe wanaogopa kwenda kutoa ushahidi na watumie hiyo nafasi kuonyesha mipango yao miovu?
 
Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
mbona unahangaika hivyo. what's wrong with U.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Unaielekeza mahakama au umepaniki?

Lisu ametuambia public nini amehitimisha na shahidi wake.

Kiufupi mmekalia msumari wa moto
Kingai amesema yeye na wenzake hawataki kutoa ushahidi kwa sababu wanataka Lissu apatikane na hatia. Lakini hapo hapo, kwa nafasi zao, hawa ni watu muhimu sana kuonyeosha mahakamani kama kweli kulikuwa na jaribio la uhaini. Kama wanataka apatikane na hatia, ni kwa nini wanaogopa/wanaona huruma kwenda kudhihirisha mbeleya mahakama? I mean si ndiyo wangefurahi kupata hiyo nafasi ili lengo lao litimie?
 
Back
Top Bottom