Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoa
hidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Ukweli Lissu kaidanganya
MAHAKAMA
R.kingai alikuwa tayali kwenda kutoa Ushahidi wake ✅️
Lkn Lissu machale yakamcheza
Kwaiyo ❗️
ni Lissu ndio kamkataa Shahidi yake R.kingai kajua maneno yake yatakuwa
Kisu kwake🫎🫎😂😂
Yani nikufunge mm namimi nije kukutetea 🫎‼️
MANYUMBU yakamshangalia mwenyekiti wao kutaja Mashahidi wake 🫎🫎🫎
Ndiomana najiuliza kuwa Chadema ni kupungukiwa na akili zako
kidogo 🫎‼️
Mashaka yangu bado wapo nyumbu hawajagundua namna Mwenyekiti wao kashindwa kujitetea
kikamilifu ❗️
MSOMI nguli wa Sheria ndugu mh Tundu Lissu
Kawa sawa na
Maamuma kisheria 👈
Fikiria kama mh Lissu angekubali kutetewa na Mawakili wenzie
Wale Mawakili wangesema tuna Mashahidi 20
Kumtetea mtuhumiwa ✅️
Mawakili wapo nje sio Lupango
Manake wangeweza kuwaleta mmoja mmoja au wawili wawili
Mpaka kujiakikisha kile kipo kwa Majaji kinakizi ukimzani wa tuhuma zake Lissu ✅️
Lkn Lissu anafanya masihara kwenye jambo hatari kwake ‼️
Ninaamini akili ya Lissu baada ya kusikia neno Maridhiano❗️ likipigwa na Wanasiasa wenzie Lissu akapoteza lengo mikakati ya kujitetea
Akili yake ikakwama kwamba yeye yupo ndani kwasababu za Kisiasa sio kosa kafanya lenye uzito mkubwa ndiomana kashtuka ile siku anaambiwa unakesi ya kujibu✍️