Jinga lao , kwa akili yako na wewe uliamini Kingai, Mkunda na Wambura watakubali kupanda kizimbani kuhojiwa na Lissu?
Uwezo wa hao watu mbona unajulikana na ni kutokana na ubovu wa mifumo yetu ndio maana top offices zimejaa "mediocres" .
Kwa mfano leo uniambie mwaka jana kama kungekua na uchaguzi ikaandaliwa presidential debate Samia angehudhuria?
Angeweza kujibu maswali ya papo kwa papo ambayo sio scripted na hasomi popote?
Usishangae watu wanajenga ICD zinazosababisha traffic jam hapo mjini halafu tena zimekamilika na traffic jam imekua kubwa ndio anaibuka mtu kutaka kutafuta shortcut , kwani wakati zinajengwa walikua hawajui plan ya mji na muelekeo wa gari hizo ?