Hapana mimi ni mwarabu wa Oman aka mjomba wako.Wewe ni mtanzania?unaelewa kiswahili .....??umesikia kilichotamkwa?
Hapana mimi ni mwarabu wa Oman aka mjomba wako.Wewe ni mtanzania?unaelewa kiswahili .....??umesikia kilichotamkwa?
Kama siyo sehemu ya rekodi za mahakama na hayakupokelewa kwahiyo tuendelee kusubiri CDF na IGP watakuja kutoa ushahidi.Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Unasubiria nini wakati mshitakiwa kashasema amefunga ushahidi??Kama siyo sehemu ya rekodi za mahakama na hayakupokelewa kwahiyo tuendelee kusubiri CDF na IGP watakuja kutoa ushahidi.
Hivi logic yako ni ipi hasa.
Mimi nilikuwa na Muddy tunajitafunia mabikra wetu 70 babu, siishi huko mnakopiga kura za uongo. Nasikia hata Kikwete siku si nyingi anakuja kuchakata wa kwake alioandaliwa.Wewe uliona wapi kura hazijapigwa????
Mbona nyinyi Nyumbu waongo waongo sana🫎❗️
uwongo wenu mnafundishwa kwenye Dini au
Mbona nyote mnafanana kuongopa kwenu🫎🫎
Jiji ya Dar es Sallam wamepiga kura maeneo mengi kwa %98
Twambie wewe unakaa wapi uko ambapo kura hazikupigwa???
Hawakuyajaza.
❗️Mimi nilikuwa na Muddy tunajitafunia mabikra wetu 70 babu, siishi huko mnakopiga kura za uongo. Nasikia hata Kikwete siku si nyingi anakuja kuchakata wa kwake alioandaliwa.
Kati ya nyumbu na wewe nani nyumbu? Huyo aliyekatqliwa kwa nini asiseme mbele ya jaji kwamba lisu kanikataa?Ukweli Lissu kaidanganya
MAHAKAMA
R.kingai alikuwa tayali kwenda kutoa Ushahidi wake ✅️
Lkn Lissu machale yakamcheza
Kwaiyo ❗️
ni Lissu ndio kamkataa Shahidi yake R.kingai kajua maneno yake yatakuwa
Kisu kwake🫎🫎😂😂
Yani nikufunge mm namimi nije kukutetea 🫎‼️
MANYUMBU yakamshangalia mwenyekiti wao kutaja Mashahidi wake 🫎🫎🫎
Ndiomana najiuliza kuwa Chadema ni kupungukiwa na akili zako
kidogo 🫎‼️
Mashaka yangu bado wapo nyumbu hawajagundua namna Mwenyekiti wao kashindwa kujitetea
kikamilifu ❗️
MSOMI nguli wa Sheria ndugu mh Tundu Lissu
Kawa sawa na
Maamuma kisheria 👈
Fikiria kama mh Lissu angekubali kutetewa na Mawakili wenzie
Wale Mawakili wangesema tuna Mashahidi 20
Kumtetea mtuhumiwa ✅️
Mawakili wapo nje sio Lupango
Manake wangeweza kuwaleta mmoja mmoja au wawili wawili
Mpaka kujiakikisha kile kipo kwa Majaji kinakizi ukimzani wa tuhuma zake Lissu ✅️
Lkn Lissu anafanya masihara kwenye jambo hatari kwake ‼️
Ninaamini akili ya Lissu baada ya kusikia neno Maridhiano❗️ likipigwa na Wanasiasa wenzie Lissu akapoteza lengo mikakati ya kujitetea
Akili yake ikakwama kwamba yeye yupo ndani kwasababu za Kisiasa sio kosa kafanya lenye uzito mkubwa ndiomana kashtuka ile siku anaambiwa unakesi ya kujibu✍️
Nonsense!Ukweli Lissu kaidanganya

Kwa hiyo kwa akili yako waamini kabisa Kingai alisema alivyosema Lissu?Simple logic.
Hivi majaji na makimu huwa wanaamini vipi maneno ya mashahidi, walimwamini vipi Yeriko aliyekuwa kwenye kibanda cha njiwa kuwa alikuwa anasema kweli.
Ndio walitaka kumhoji shahidi heche ...nà alikuwa kizimbani akiendelea na ushahidi.
Kingai hakupanda kizimbani na hivyo mahakama haina ushahidi wake kutoka kwenye kinywa chake kuhusu kumtetea au kutomtetea lissu.
Mahakama ina rekodi ya mshitakiwa kushindwa kuleta shahidi wake watatu alioomba waje kumalizia kumtetea.
Mahakama ina rekodi ya mshitakiwa kuhitimisha utetezi wake rasmi
Mahakama ina rekodi ya kutoa haki iliyopitiliza hadi kumsaidia mshitakiwa kuwapa summons baadhi ya mashahidi wa mshitakiwa ili asikose fursa ya kujitetea ipasavyo.
Mtiririko wako TU inaonyesha ulivyo kilaza wa Taifa.Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Aliitwa kukutana na Lissu akafanya hivyo na baada ya hapo lissu akaijuza mahakama hana mpango wa kuendelea na mashahidi wake watatu.Hoja ina pande mbili,mbona wewe unaangaliq upande mmoja tu? Huuoni utovu wa nidhamu wa kingai kuidharau mahakama? Aliitwa na mahakama na siyo Lissu, hivyo alitakiwa apande kizimbani na kuyatamka maneno aliyomtamkia Lissu baada ya kuonana naye. Hakufanya hivyo na mahakama itatafsiri kama dharau kwao. Hili hulioni bali umegandisha ubongo wako eneo moja.
Nakuhakikishia kuwa kama hawa majaji wataongozwa na sheria na kanuni za mahakama Lissu atakuwa huru mapema kabla ya mwezi huu kwisha.
Hawa kina Kingai walitajwa na mshtakiwa kama mashahidi wake upande wa utetezi.Mimi naona hii issue imekaa ki-mtego mtego. 1. Mahakama ilikubaliana na hoja ya Lissu kuwa hawa mashahidi ni watu muhimu kwenye kesi kutoa ushahidi na ikatoa summons waitwe. 2. Shahidi mmoja kaja kama alivyoitwa (navyojua mimi kukataa wito kama huu ni kosa kisheria) 3. Baada ya kuja, anamwambia mshtakiwa kuwa hataki kuwa shahidi wake na anataka apatikane na hatia 4. Lissu anaenda kwa majaji na kusema kuwa Kingai amekataa kuwa shaidi yake na hivyo anafunga ushahidi. Swali: Je Lissu angeweza kusema ''"My Lord, Kingai has been summoned as a material defence witness. He is here, but he refuses to testify. I ask the court to require him to take the stand." Kwa ni hakutaka kufanya hivyo wakati mahakama ilishakubali kuwa ushahidi wa hawa watu ni muhimu? 5. Itathibishwa namna gani kuwa hata hao wengine kina Mkunda, ni kweli wamemtuma Kingai kusema hivyo? Je, hii ina implication yoyote kwenye hii kesi siku za mbele iwe Lissu amepatikana na hatia au la? Kwa nini watu ambao wanataka Lissu afungwe wanaogopa kwenda kutoa ushahidi na watumie hiyo nafasi kuonyesha mipango yao miovu?
Tuchukulie hilo unalosema ni sahihi, kwamba maneno yote ya Lissu ikiwemo kumsemea Kingai kuwa hawezi kuwa shahidi ni batili na hayajaingia kwenye rekodi. Kwa maana nyingine hakuna rekodi inayoonyesha mashahidi wale watatu walifika mahakamani. Swali linakuja, Mahakama ilichukua hatua gani baada ya shahidi aliyetumiwa summons kushindwa kufika mahakamani?Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Acha kuspin na kujiondoa ufahamu...lisu aliwasilisha kwa ufasaha kabisa kwamba hatoweza kuendelea na mashahidi wake na alifunga ushahidi.mahakama ilimtaka lissu kuendelea kujitetea na sio kutafuta ufafanuzi wa lolote lile.Tuchukulie hilo unalosema ni sahihi, kwamba maneno yote ya Lissu ikiwemo kumsemea Kingai kuwa hawezi kuwa shahidi ni batili na hayajaingia kwenye rekodi. Swali linakuja, Mahakama ilichukua hatua gani baada ya shahidi aliyetumiwa summons kushindwa kufika mahakamani?
Hakuna anayepinga kuwa Lissu alifunga ushahidi ila alifanya hivyo baada ya kueleza kuwa shahidi kukataa kutokea mbele ya majaji.Acha kuspin na kujiondoa ufahamu...lisu aliwasilisha kwa ufasaha kabisa kwamba hatoweza kuendelea na mashahidi wake na alifunga ushahidi.mahakama ilimtaka lissu kuendelea kujitetea na sio kutafuta ufafanuzi wa lolote lile.
Lissu angetetewa na mawakili wengine asingetoboa katika kesi hiyo. Hawa Watanzania njaa na vibaraka wametapakaa kila sekta. Linapokuja suala la haki au uhai wako, usimuamini Mtanzania yoyote yule.Umeeleweka sio lazima imaanishe kuwa tunakuamini.
Lissu amechemsha kwenye hili. Alipaswa kumhoji shahidi mbele ya Mahakama baada ya kula kiapo. Kingai angesema ambayo Lissu anadai alisema Mahakamani ingekuwa na impact kubwa.
Kusema kuwa siwezi kumlazimisha atoe does not make any sense. Mahakama ndio iliyomlazimisha Kingai kufika kutoa ushahidi sio Lissu. Hivi Lissu alitegemea kuwa Rais Samia na IGP watamtetea?
Nilitegemea kuwa ana mkakati wa kuwa ingawq watakuwa hostile witnesses atatumia ushahidi wao kuonyesha mapungufu ya mashtaka dhidi yake.
Alikosea kuamua kujitetea. Kibatala angemtetea vizuri zaidi.
Amandla...