Majadiliano kati ya Lissu na shahidi wake hayawezi kuwa sehemu ya ushahidi mahakamani

Majadiliano kati ya Lissu na shahidi wake hayawezi kuwa sehemu ya ushahidi mahakamani

Tanzania: Kabla na baada ya Oktoba 29 2025. Ali Kibao naye ni ushahidi tosha. Ben Saanane, Mdude Nyangali, Kaswahili, Dioniz Kipanya, Deusodedit Soka, Polepole, Bernad Chaula, na wengine maelfu kama siyo malaki.


Swali kwako: Bado unatumia kichwa hiko kuvukia barabara?
Unaelewa maana ya ushahidi beyond reasonable doubts?
Wewe utakuwa umeumbwa kichwa chini miguu juu
 
Unaelewa maana ya ushahidi beyond reasonable doubts?
Wewe utakuwa umeumbwa kichwa chini miguu juu
Una hukumu yeyote unaandaa kwa nchi hizo au unajifaragua tu.

Nimekutajia matakataka mnayoyafanya.

Kifo ni kifo tu, alisema Muuaji in Chief wakati anaelezea kuhusu kifo cha Ali Kibao kilichofanywa ndani ya maeneo ya Jeshi Ununio.

Hujajibu swali: huo ubongo wako bado unakuwezesha kuvuka barabara?
 
Back
Top Bottom