uko sahihi 100%👍Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Jaji ni MwanasheriaKuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Kama majadiliano aliyoyaleta Lissu mahakamani hayajaingia kwenye rekodi mbona jaji Ndunguru alisema umeeleweka na tunafunga upelelezi.Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Unaielekeza mahakama au umepaniki?Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Mliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.Unaielekeza mahakama au umepaniki?
Lisu ametuambia public nini amehitimisha na shahidi wake.
Kiufupi mmekalia msumari wa moto
Lissu ana akili sana alijua haya yatatokea, ndio maana alikubali haraka haraka kufunga utetezi wake.Unaielekeza mahakama au umepaniki?
Lisu ametuambia public nini amehitimisha na shahidi wake.
Kiufupi mmekalia msumari wa moto
Sasa unalialia nini.Mliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.
This time hamchomoki kwa kuwa mmekutana na wajuvi wa sheria
Kwani hukumu ya hiyo kesi inajali ushahidi, ama itatekeleza maagizo?Kama kwenye vituo vya kura hakukuwa na wapiga kura 31m, lakini rais akatangazwa kwa kura 31m. Aliyetoa maagizo ya kutangazwa rais kwa kura zile za uongo, ndio anayeagiza sasa hukumu iandikwe vipi, na sio ushahidi ulikuwa vipi mahakamani.Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Hakuna aliyewahi kuhukumiwa na akakubali hukumuKwani hukumu ya hiyo kesi inajali ushahidi, ama itatekeleza maagizo?Kama kwenye vituo vya kura hakukuwa na wapiga kura 31m, lakini rais akatangazwa kwa kura 31m. Aliyetoa maagizo ya kutangazwa rais kwa kura zile za uongo, ndio anayeagiza sasa hukumu iandikwe vipi, na sio ushahidi ulikuwa vipi mahakamani.
Huyo jaji anaogopa nini, kama jaji mwenzake Mwambegele alimtangaza Samia kwa kura za uongo 31m kukiwa na mauaji ya kutisha, na bila idadi hiyo ya wapiga kura vituoni?Mliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.
This time hamchomoki kwa kuwa mmekutana na wajuvi wa sheria
Ushahidi usioacha shaka unaeleweka. Kama tuna rais wa kura 31m za uongo wa wazi, na mnataka tuamini kuwa ni kura za kweli, si tutakuwa wajinga kuamini huo uhuni uliipandikizwa hapo mahakamani?Hakuna aliyewahi kuhukumiwa na akakubali hukumu
Mimi naona hii issue imekaa ki-mtego mtego. 1. Mahakama ilikubaliana na hoja ya Lissu kuwa hawa mashahidi ni watu muhimu kwenye kesi kutoa ushahidi na ikatoa summons waitwe. 2. Shahidi mmoja kaja kama alivyoitwa (navyojua mimi kukataa wito kama huu ni kosa kisheria) 3. Baada ya kuja, anamwambia mshtakiwa kuwa hataki kuwa shahidi wake na anataka apatikane na hatia 4. Lissu anaenda kwa majaji na kusema kuwa Kingai amekataa kuwa shaidi yake na hivyo anafunga ushahidi. Swali: Je Lissu angeweza kusema ''"My Lord, Kingai has been summoned as a material defence witness. He is here, but he refuses to testify. I ask the court to require him to take the stand." Kwa ni hakutaka kufanya hivyo wakati mahakama ilishakubali kuwa ushahidi wa hawa watu ni muhimu? 5. Itathibishwa namna gani kuwa hata hao wengine kina Mkunda, ni kweli wamemtuma Kingai kusema hivyo? Je, hii ina implication yoyote kwenye hii kesi siku za mbele iwe Lissu amepatikana na hatia au la? Kwa nini watu ambao wanataka Lissu afungwe wanaogopa kwenda kutoa ushahidi na watumie hiyo nafasi kuonyesha mipango yao miovu?Uko sahihi kwa asilimia 100
mbona unahangaika hivyo. what's wrong with U.Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi.
Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama"
Koti ilivyoitwa ilitaka kusikia ushahidi wa DCI,IGP na CDF kama alivyoahidi kuwaleta na kuwatumia kumtetea.
Badala yake mshtakiwa alipokaribishwa akaanza kutoa sababu za mashahidi wake kutokufika na hatimaye yeye mwenyewe akaomba kufunga ushahidi.
Maneno yanayosadikika kusemwa na KINGAI hayana uthibitisho na hivyo hayawezi kuwa sehemu ya rekodi za mahakama.
Kingai amesema yeye na wenzake hawataki kutoa ushahidi kwa sababu wanataka Lissu apatikane na hatia. Lakini hapo hapo, kwa nafasi zao, hawa ni watu muhimu sana kuonyeosha mahakamani kama kweli kulikuwa na jaribio la uhaini. Kama wanataka apatikane na hatia, ni kwa nini wanaogopa/wanaona huruma kwenda kudhihirisha mbeleya mahakama? I mean si ndiyo wangefurahi kupata hiyo nafasi ili lengo lao litimie?Unaielekeza mahakama au umepaniki?
Lisu ametuambia public nini amehitimisha na shahidi wake.
Kiufupi mmekalia msumari wa moto
Mna hofu ndo maana mnaua watanzania wasiowakubaliMliopaniki mnaonekana jukwaani na threads zenu za kutaka kumtisha jaji au kuahadaa umma.