tutapata majibu baada ya majadiliano. kuja kwao ACACIA kwenye meza ya mduara ni hesha kubwa kwetu kama taifa. na kuwa sisi siyo wa mchezomchezo kwenye Tanzania ya JPM
haya ndio mawazo ya kijinga ya waafrika. hujui hata wakoloni walipotaka kututawala walitufuata hukuhuku? hujui kama Mali zetu walizifuata hukuhuku? acha kujisifia eti wamekufuata. cha kujisifia ni jinsi gani utafaidikia na ujio wao. je matarajio yetu yatatimia