Huwa anaongea bila kutekeleza. Anaongeaga tu na yanaishia hapo hapoSiamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.
Wadau mnasemaje?
Bashe ni msomali anayepewa umaarufu wa kiuongozi bila kuwa na lolote la maanaMajaliwa Raisi , waziri mkuu Bashe , waziri wa nishati mpe kalemani , alafu fedha niwekee pole pole , nchi lazima itembee
Wewe sasa ndo unamwelewa vyema mkuu.. huyu alisha tufanyiaga siasa kule Tanga sitawasahau mtu mimiHuwa anaongea bila kutekeleza. Anaongeaga tu na yanaishia hapo hapo
Stori kama hizi hazijawai kukosekana🙌🏽Za umbea zinasema waongeaji ni TISS na walipewa notice, mkuu akatunga maswali halafu akaandaa majibu.
Mzee wa KamatiSiamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.
Wadau mnasemaje?
Kwani hapo alipo ni kiongozi mdogo?Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.
Wadau mnasemaje?
Kwa sababu ametumwa na Rais kwenda kuwasikiliza wafanyabiashara?Siamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.
Wadau mnasemaje?
TISS Haina akili hizo otherwise wangekua wameunda chama kikawa kikubwa level za Chadema.Za umbea zinasema waongeaji ni TISS na walipewa notice, mkuu akatunga maswali halafu akaandaa majibu.
hata mimi nimejiuliza hilo swali, kwani waziri mkuu ni sawa na raia wa kawaida?Kwani sasa sio kiongozi mkubwa?
Wafanya biashara wanajuana na pandikizi wanajuanaZa umbea zinasema waongeaji ni TISS na walipewa notice, mkuu akatunga maswali halafu akaandaa majibu.
Ripoti ya tume ya kuungua soko la KK iko wapi? Tuanzie hapoSiamini sana katika siasa za nchi. Lakini, ikitokea naambiwa nimpigie Majaliwa kura awe kiongozi mkubwa, Yes nampigia.
Kuna namna kafanikiwa kunidanganya kwamba he is capable. Sasa sijui kaniingiza mkenge ama siku hizi nimekuwa mduanzi wanasiasa wana hack system yangu ya kuona reality in people.
Wadau mnasemaje?