peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Huyu naye ni ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa za kampeni zao kwao ndio zishaanza?Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo.
Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mawaziri na naibu mawaziri.
Majaliwa amewataka mawaziri na naibu wao kuwa wasemaji wakubwa wa mafanikio ya Serikali ili itakapofika 2025, Samia Suluhu Hassan (Rais) apite na kusema kidogo tu.
"Wambieni wananchi kuhusu mazuri yanayofanywa na Serikali hii, tambueni msimamo na mtazamo wa Rais ili mkawe wasemaje zaidi yeye akija awe na maneno machache ya kueleza," amesema.
Waziri Mkuu amewataka mawaziri na naibu wao kufanya kazi kwa mashirikiano na kuheshimu kauli za viongozi wakuu kwani siyo kila agizo lazima waandikiwe barua ndipo watekeleze.
Katika hatua nyingine Waziri Mkuu amewataka viongozi hao kuwa mfano kwa mienendo yao wakianzia na mavazi, kauli na kutojiinga katika mambo yatakayowafanya wajadiliwe.
Amesema katika mitandao ya kijamii wapunguze kuzungumza mambo mengi ili kusudi wanapotamka mambo machache yaonekane kuwa na maana kwa jamii.
Chanzo: Mwananchi
Tunabishana na vichaa humu, kuna watu wanalipia kuona kaburi la kichaa mwenzako? Have a good day......Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la JPM pale Chato?
Awamu ya pili na ya nne ulikuwa hujamaliza chuo. So hujui yaliyowapata watanzania.Unataka aje akusugue? Usinitafutie Ban aisee
Wana ahueni now, baada ya kupewa kibano na Jiwe, hawataki hiyo ahueni iwatokeSiasa za kampeni zao kwao ndio zishaanza?
Awamu ya pili kuna mama wa visiwani alitaka kununua hadi ngorongoro crater . Wewe ulikuwa chekecheaTunabishana na vichaa humu, kuna watu wanalipia kuona kaburi la kichaa mwenzako? Have a good day......
Ila CCM mmealibu chama chenu Sana , kila kiongozi wa juu anaweza kutoka na kusema , na hamuwezi muhoji mamlaka anayatoa wapi wakati wenye chama mpo, aisee,Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo.
Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mawaziri na naibu mawaziri.
Majaliwa amewataka mawaziri na naibu wao kuwa wasemaji wakubwa wa mafanikio ya Serikali ili itakapofika 2025, Samia Suluhu Hassan (Rais) apite na kusema kidogo tu.
"Wambieni wananchi kuhusu mazuri yanayofanywa na Serikali hii, tambueni msimamo na mtazamo wa Rais ili mkawe wasemaje zaidi yeye akija awe na maneno machache ya kueleza," amesema.
Waziri Mkuu amewataka mawaziri na naibu wao kufanya kazi kwa mashirikiano na kuheshimu kauli za viongozi wakuu kwani siyo kila agizo lazima waandikiwe barua ndipo watekeleze.
Katika hatua nyingine Waziri Mkuu amewataka viongozi hao kuwa mfano kwa mienendo yao wakianzia na mavazi, kauli na kutojiinga katika mambo yatakayowafanya wajadiliwe.
Amesema katika mitandao ya kijamii wapunguze kuzungumza mambo mengi ili kusudi wanapotamka mambo machache yaonekane kuwa na maana kwa jamii.
Chanzo: Mwananchi
Vyovyote vile, hivi hawawezi kusubiri mpaka uchumi ukue kama wanavyotuambia na kutuaminisha?Majaliwa? CCM wamekutuma? Au umetumwa na wananchi? Au umejituma mwenyewe?
Watakuta ikulu imehamaVyovyote vile, hivi hawawezi kusubiri mpaka uchumi ukue kama wanavyotuambia na kutuaminisha?
Vyovyote vile, hivi hawawezi kusubiri mpaka uchumi ukue kama wanavyotuambia na kutuaminisha?Majaliwa? CCM wamekutuma? Au umetumwa na wananchi? Au umejituma mwenyewe?
Mkuu siyo CCM tu, leo hii Mwamba akiibuka na msimamo wowote huko kwenu kuna mtu wa kumpinga? Muhimu tuiombee nchi yetu mema while tunakosoana ndani kwa ndani, nimependa aproach ya CDM kutaka kuongea na Rais, naye kama ana akili akae aongee naoIla CCM mmealibu chama chenu Sana , kila kiongozi wa juu anaweza kutoka na kusema , na hamuwezi muhoji mamlaka anayatoa wapi wakati wenye chama mpo, aisee,
Hii ni njia sahihi ya kuhakikisha makada ndani ya chama wanafanya kazi badala ya kuufikiria uraisi wa 2025. Nafasi ya uraisi imeshajulikana hakuna haja ya kuifikiria.Hii sasa ni kufuru!.. Uchaguzi tumefanya miezi kumi iliyopita, Mpaka October 2025 kuna miaka minne kamili. Badala ya kuwaza namna ya kushughulikia kilichomo kwenye ilani iliyonadiwa na ahadi zilizotolewa, tunapenyezewa nyeti za nani atakayesimama kugombea?. Kampeni zimeanza mapema? 🤔 😳
Wala asisumbuke kumtaja au kumsemea mtu huyo hahitajiki kama ni kwa maslahi ya nchi na wananchi labda watawala wenye kutafuta fursa binafsi.Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo.
Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mawaziri na naibu mawaziri.
Majaliwa amewataka mawaziri na naibu wao kuwa wasemaji wakubwa wa mafanikio ya Serikali ili itakapofika 2025, Samia Suluhu Hassan (Rais) apite na kusema kidogo tu.
"Wambieni wananchi kuhusu mazuri yanayofanywa na Serikali hii, tambueni msimamo na mtazamo wa Rais ili mkawe wasemaje zaidi yeye akija awe na maneno machache ya kueleza," amesema.
Waziri Mkuu amewataka mawaziri na naibu wao kufanya kazi kwa mashirikiano na kuheshimu kauli za viongozi wakuu kwani siyo kila agizo lazima waandikiwe barua ndipo watekeleze.
Katika hatua nyingine Waziri Mkuu amewataka viongozi hao kuwa mfano kwa mienendo yao wakianzia na mavazi, kauli na kutojiinga katika mambo yatakayowafanya wajadiliwe.
Amesema katika mitandao ya kijamii wapunguze kuzungumza mambo mengi ili kusudi wanapotamka mambo machache yaonekane kuwa na maana kwa jamii.
Chanzo: Mwananchi
Bado haiondoi ukweli kwamba walioko madarakani sasa jukumu lao kubwa ni kuwaletea watanzania maendeleo na si kuwaza mambo ya miaka 4 ijayo, hii si sawa. Hayo wayazungumzie kwenye vikao vyao vya ndani.Lakini so ndivyo wanavyofanya wrote?!! Si jana tu tumetoka kusikia kuwa mbatia anawaambia wenzake chadema, act na cut waungane ili waing'oe CCM 2025......kila mtu anazungumzia hilo
Hamna wanyonge ndani ya nchi hii, wote watabe, labda wewe ndiyo mnyonge, and fook you na unyonge wako, nobody give a shitWala asisumbuke kumtaja au kumsemea mtu huyo hahitajiki kama ni kwa maslahi ya nchi na wananchi labda watawala wenye kutafuta fursa binafsi.
Waziri mkuu haheshimiki wala kuaminika tena na wananchi wa kada za chini kwa sasa kwa kuwa miongoni mwa watesaji wa wanyonge.
Rais Samia kampa madaraka Majaliwa, na awamu hii atafanya kazi ya maana. Alikuwa akimuogopa JPM kwani hakutabirika.Dodoma.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo.
Majaliwa ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Oktoba 29, 2021 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mawaziri na naibu mawaziri.
Majaliwa amewataka mawaziri na naibu wao kuwa wasemaji wakubwa wa mafanikio ya Serikali ili itakapofika 2025, Samia Suluhu Hassan (Rais) apite na kusema kidogo tu.
"Wambieni wananchi kuhusu mazuri yanayofanywa na Serikali hii, tambueni msimamo na mtazamo wa Rais ili mkawe wasemaje zaidi yeye akija awe na maneno machache ya kueleza," amesema.
Waziri Mkuu amewataka mawaziri na naibu wao kufanya kazi kwa mashirikiano na kuheshimu kauli za viongozi wakuu kwani siyo kila agizo lazima waandikiwe barua ndipo watekeleze.
Katika hatua nyingine Waziri Mkuu amewataka viongozi hao kuwa mfano kwa mienendo yao wakianzia na mavazi, kauli na kutojiinga katika mambo yatakayowafanya wajadiliwe.
Amesema katika mitandao ya kijamii wapunguze kuzungumza mambo mengi ili kusudi wanapotamka mambo machache yaonekane kuwa na maana kwa jamii.
Chanzo: Mwananchi
Mtu wa JPM aliyeshindwa kubadilika.Kwa sera hizi za kukandamiza wanyonge,
Chama kitapata tabu sana kumnadi 2025.
Nani atapigia kura mgombea wa chama kisichomjali.
Kwanini Chama kinaacha sera hizi ziendelelee.
Tulishasahau ukandamizaji wa watu wa kada ya chini 2015.
Kwanini mnaturejesha tena kule kule sasa hivi??