Majaliwa asema CCM kumpeleka kwa wananchi Rais Samia 2025

Siasa za kampeni zao kwao ndio zishaanza?
 

Uko tayari kulipa shilingi ngapi kama tozo ya kuona kaburi la JPM pale Chato?​

Tunabishana na vichaa humu, kuna watu wanalipia kuona kaburi la kichaa mwenzako? Have a good day......
 
Tunabishana na vichaa humu, kuna watu wanalipia kuona kaburi la kichaa mwenzako? Have a good day......
Awamu ya pili kuna mama wa visiwani alitaka kununua hadi ngorongoro crater . Wewe ulikuwa chekechea
 
Ila CCM mmealibu chama chenu Sana , kila kiongozi wa juu anaweza kutoka na kusema , na hamuwezi muhoji mamlaka anayatoa wapi wakati wenye chama mpo, aisee,
 
Ila CCM mmealibu chama chenu Sana , kila kiongozi wa juu anaweza kutoka na kusema , na hamuwezi muhoji mamlaka anayatoa wapi wakati wenye chama mpo, aisee,
Mkuu siyo CCM tu, leo hii Mwamba akiibuka na msimamo wowote huko kwenu kuna mtu wa kumpinga? Muhimu tuiombee nchi yetu mema while tunakosoana ndani kwa ndani, nimependa aproach ya CDM kutaka kuongea na Rais, naye kama ana akili akae aongee nao
 
Hii ni njia sahihi ya kuhakikisha makada ndani ya chama wanafanya kazi badala ya kuufikiria uraisi wa 2025. Nafasi ya uraisi imeshajulikana hakuna haja ya kuifikiria.
 
Wala asisumbuke kumtaja au kumsemea mtu huyo hahitajiki kama ni kwa maslahi ya nchi na wananchi labda watawala wenye kutafuta fursa binafsi.

Waziri mkuu haheshimiki wala kuaminika tena na wananchi wa kada za chini kwa sasa kwa kuwa miongoni mwa watesaji wa wanyonge.
 
Lakini so ndivyo wanavyofanya wrote?!! Si jana tu tumetoka kusikia kuwa mbatia anawaambia wenzake chadema, act na cut waungane ili waing'oe CCM 2025......kila mtu anazungumzia hilo
Bado haiondoi ukweli kwamba walioko madarakani sasa jukumu lao kubwa ni kuwaletea watanzania maendeleo na si kuwaza mambo ya miaka 4 ijayo, hii si sawa. Hayo wayazungumzie kwenye vikao vyao vya ndani.
 
Hamna wanyonge ndani ya nchi hii, wote watabe, labda wewe ndiyo mnyonge, and fook you na unyonge wako, nobody give a shit
 
Kwa sera hizi za kukandamiza wanyonge,

Chama kitapata tabu sana kumnadi 2025.

Nani atapigia kura mgombea wa chama kisichomjali.

Kwanini Chama kinaacha sera hizi ziendelelee.

Tulishasahau ukandamizaji wa watu wa kada ya chini 2015.

Kwanini mnaturejesha tena kule kule sasa hivi??
 
Bado hakifunzi kwa awamu iliyopita kwa misemo yake!

Anamchagulia Mungu cha kufanya
 
Rais Samia kampa madaraka Majaliwa, na awamu hii atafanya kazi ya maana. Alikuwa akimuogopa JPM kwani hakutabirika.

Samia anatabirika na anayo huruma ya Mama mzazi, anao uwezo wa kupima kinachofanyika na kuja na jawabu linaloangalia utendaji wa haki.
 
Mtu wa JPM aliyeshindwa kubadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…