Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina.

"Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na sisi tunatambua mchango mkubwa wa Rais Samia Hassan kwenye Taifa hili, niseme tu tunapokea ushauri wako na litaingia serikalini na litajadiliwa pale ambapo watafanya maamuzi taarifa rasmi zitatolewa,"- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Kama ulipitwa ni kwamba Ng'wasi Kamani alisimama Bungeni leo na kutoa hoja ya kuweka picha ya Rais kwenye fedha za Tanzania.

"Mhe Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii kudizaini fedha kwa kuweka nembo na material mbalimbali, mwaka 2021 nchi hii imepata Rais wake wa kwanza mwanamke anayefanya kazi nzuri na anatambulika katika Bara la Afrika na duniani kama Rais madhubuti na wa mfano, Je serikali haioni sasa kuna haja ya kuweka kumbukumbu ya kudumu kwa Rais Samia kwa kuweka picha yake katika fedha za nchi hii?," - Ng'wasi Kamani

Written by Mjanja M1 ✍️
Muungano je?
 
Kwa hii mijadala Unaweza kudhani labda nchi haina shida ndogo ndogo kama Canada kumbe ukitoka kilomita mbili nje ya bunge unakutana na omba omba kila pahali, ukizama 20 kilometres, unakutana na umaskini Wa kutisha..

Hata hivyo, wacha niwaache wafu wazikane
sio kilomete ni mita 200 tu nje ya bunge
 
Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina.

"Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na sisi tunatambua mchango mkubwa wa Rais Samia Hassan kwenye Taifa hili, niseme tu tunapokea ushauri wako na litaingia serikalini na litajadiliwa pale ambapo watafanya maamuzi taarifa rasmi zitatolewa,"- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Kama ulipitwa ni kwamba Ng'wasi Kamani alisimama Bungeni leo na kutoa hoja ya kuweka picha ya Rais kwenye fedha za Tanzania.

"Mhe Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii kudizaini fedha kwa kuweka nembo na material mbalimbali, mwaka 2021 nchi hii imepata Rais wake wa kwanza mwanamke anayefanya kazi nzuri na anatambulika katika Bara la Afrika na duniani kama Rais madhubuti na wa mfano, Je serikali haioni sasa kuna haja ya kuweka kumbukumbu ya kudumu kwa Rais Samia kwa kuweka picha yake katika fedha za nchi hii?," - Ng'wasi Kamani

Written by Mjanja M1 ✍️
0. Magufuli ya elfu hamsini.
1. Samia ya elfu ishirini(mpya ya siku ya kuzaliwa kwake).
2.Mwinyi ya elfu kumi.
3. Makamu wa rais ya elfu tano.
4. Waziri mkuu ya elfu mbili.
5. Jengo la makao makuu ya CCM ya elfu moja.
6. Naibu waziri mkuu ya mia tano.
7. Mwigulu ya mia mbili.
8. Makonda ya mia moja.
9. Kinana ya hamsini.
Wakifanya haya uchumi wa Tanzania utakua kwa kasi.
 
Chawa wanashindana wengine wanasema Sanamu la Samia likasimkwe kwenye Mlima Kilimanjaro.
 
Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina.

"Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na sisi tunatambua mchango mkubwa wa Rais Samia Hassan kwenye Taifa hili, niseme tu tunapokea ushauri wako na litaingia serikalini na litajadiliwa pale ambapo watafanya maamuzi taarifa rasmi zitatolewa,"- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Kama ulipitwa ni kwamba Ng'wasi Kamani alisimama Bungeni leo na kutoa hoja ya kuweka picha ya Rais kwenye fedha za Tanzania.

"Mhe Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii kudizaini fedha kwa kuweka nembo na material mbalimbali, mwaka 2021 nchi hii imepata Rais wake wa kwanza mwanamke anayefanya kazi nzuri na anatambulika katika Bara la Afrika na duniani kama Rais madhubuti na wa mfano, Je serikali haioni sasa kuna haja ya kuweka kumbukumbu ya kudumu kwa Rais Samia kwa kuweka picha yake katika fedha za nchi hii?," - Ng'wasi Kamani

Written by Mjanja M1 ✍️
Ndo akili za watanzania zilipoishia.
 
Huyo mbunge atakuwa ametumwa na Samia mwenyewe, huyu bibi ana tamaa sana japo kiuongozi hamna kitu
 
Mambo ya kujadili ni mengi sana
Sukari
Umeme
Uhaba wa walimu
Ajira kwa vijana
Afya
Miundombinu
Wafanyakazi wa umma kutowajibika
Kilimo kutokuleta matokeo chanya

Wabunge kama hawa ni laana Kwa taifa
 
download.jpeg

Tulikubaliana tunaanzia tulipoishia au nasema uongo ndugu zangu
 
Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina.

"Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na sisi tunatambua mchango mkubwa wa Rais Samia Hassan kwenye Taifa hili, niseme tu tunapokea ushauri wako na litaingia serikalini na litajadiliwa pale ambapo watafanya maamuzi taarifa rasmi zitatolewa,"- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Kama ulipitwa ni kwamba Ng'wasi Kamani alisimama Bungeni leo na kutoa hoja ya kuweka picha ya Rais kwenye fedha za Tanzania.

"Mhe Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii kudizaini fedha kwa kuweka nembo na material mbalimbali, mwaka 2021 nchi hii imepata Rais wake wa kwanza mwanamke anayefanya kazi nzuri na anatambulika katika Bara la Afrika na duniani kama Rais madhubuti na wa mfano, Je serikali haioni sasa kuna haja ya kuweka kumbukumbu ya kudumu kwa Rais Samia kwa kuweka picha yake katika fedha za nchi hii?," - Ng'wasi Kamani

Written by Mjanja M1 ✍️
Huyo Ng'was ni Msenge, anaferwa fedha za nchi zinatakiwa kuwekwa waanzilishi wa Taifa ndio maan USA Dollar ni George Washington
😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina.

"Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na sisi tunatambua mchango mkubwa wa Rais Samia Hassan kwenye Taifa hili, niseme tu tunapokea ushauri wako na litaingia serikalini na litajadiliwa pale ambapo watafanya maamuzi taarifa rasmi zitatolewa,"- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Kama ulipitwa ni kwamba Ng'wasi Kamani alisimama Bungeni leo na kutoa hoja ya kuweka picha ya Rais kwenye fedha za Tanzania.

"Mhe Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii kudizaini fedha kwa kuweka nembo na material mbalimbali, mwaka 2021 nchi hii imepata Rais wake wa kwanza mwanamke anayefanya kazi nzuri na anatambulika katika Bara la Afrika na duniani kama Rais madhubuti na wa mfano, Je serikali haioni sasa kuna haja ya kuweka kumbukumbu ya kudumu kwa Rais Samia kwa kuweka picha yake katika fedha za nchi hii?," - Ng'wasi Kamani

Written by Mjanja M1 [emoji3578]

Ila hii nchi kuna namna haijielewi

Nchi haina umeme, karne ya 21 umeme ni shida. Samia amengia madaraka amekuta ishu ya umeme imesha stabilize…. Yeye katurudisha nyuma hatua mia, ni kuteua na kutengua na umeme hakuna …….

Samia amekuta petrol ni 1800, yeye kaipeleka 3200

Samia hajakuta tozo za miamala….. yeye kaweka tozo miamaka

Wanyama wanauzwa nje ya nchi, masai inatimuliwa kwao arusha, haitoshi na huko ZNZ wanatiwa pin

Samia alikuta barabara zinajengwa kwa spidi kubwa , leo hii barabara ya airport ni mwaka wa 3 haijakamilika…. Na ukipita maeneo yale utakuta watu wapo busy kila siku but hakuna progress wala kinachofanyika

Samia ameingiza nchi kwenye madeni na kuna hatari nchi kuuzwa

Samia kakuta Sera za Ngosha juu ya bandari ni kujengea uwezo wazawa sambasamba na kufanya investment chini ya wazawa….. yeye ameenda kubinafsisha kwa manufaa ya wachache mnoo : akistaafu na yeye ataandika kitabu chake akijutia hilo kosa kama alivojutia Mkapa kwenye my life my purpose . Ukiona ubinafsishaji TZ ujue ni upigaji mkubwa. Kuna haja ya kubadili KATIBA, ikulu lazima nayo iwe inafanyiwa auditing

Yet , mtu mmoja probably ni academic failure akapambana akatoboa kwa siasa, badalaa ya kuona shida halisi za TZ , anaongea vitu non sense .

Kipi samia kafanya very special kushinda JPM, BEN au JK mpaka apewe hiyo privilege ?

Hivi kuwa mwanamke ndio opportunity au ni ugonjwa au ni miracle ?

Kuna how many marais wa kike duniani, what is so special by the way ?

Tanzania muwe serious , msiangalie maisha kwenye pua yenu, angalieni your generation next 100 years to come , mtawaachia watoto wenu taifa la aina gani. ? Nchi masikini full mikopo utasema mmepata uhuru jana

Narudia tena , ili TZ itoboe….. kuna kizazi fulani kwanza lazima KIFE kabisa kwenye ramani ya TZ, otherwise , ni monkey see monkey do
 
Back
Top Bottom