Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

Mambo ya kujadili ni mengi sana
Sukari
Umeme
Uhaba wa walimu
Ajira kwa vijana
Afya
Miundombinu
Wafanyakazi wa umma kutowajibika
Kilimo kutokuleta matokeo chanya

Wabunge kama hawa ni laana Kwa taifa
CCM na akina Lucas Mwashambwa wanawapenda sana wabunge mazezeta.
 
Katika MCHAKATO wa kuchapisha fedha zingine watu watapiga pesa.
 
Huyo Mwasi anataka kick....hawarudi tena
 
Kwaio kila Raisi akija madarakani abadilishe sio. Hakika tuna wabunge vilaza sana uko bungeni hawajui wajibu wao kabisaaa
 
Nimeona Dubai wana Pundamilia na Pofu waliouzwa kutoka Tanzania wengi sana.
 
Mkuu tumzimishe nani kati ya huyo maza wa Kizimkazi na huyo bwege Ng'wasi?

Naona hao wahuni wameridhika kabisa kuwa sisi ni wajinga so wameamua kufanya uhuni waziwazi 😏
Sisi siyo "wajinga" ni "wapuuuzi na itondoo yale ya mwisho kabisa" .

Kama wanazunguka mikoani na kukusanya watu , kudanganya wamefanya na kufanya maigizo mnategemea wanatuonaje,? si wanatuona wapuuzi?
 
Good. Wasiopenda kuiona hijab ktk fedha wataziona. Kama hawazitaki wasizipokee
 
Haters mmechuk8a kupita maelezo.....mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anawaendesha kupita ,aelezo mamamamaeeeeee
Amekuja kuwa rais ili awaendeshe watu au watu waishi kwa amani na furaha na upendoo?
Mimi nahisi wewe ni mmoja kati ya wakimbizi wa nchi jirani mmepewa uraia na kusumbua watu .
 
Sisi siyo "wajinga" ni "wapuuuzi na itondoo yale ya mwisho kabisa" .

Kama wanazunguka mikoani na kukusanya watu , kudanganya wamefanya na kufanya maigizo mnategemea wanatuonaje,? si wanatuona wapuuzi?
So tuwaache tu watuone sisi ni wapuuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…