Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa




Msiulize hapo kuna jinsia ngapi?
Huyo ndio mbunge muwakilishi wa vijana nchi nzima.
Yani vijana wa Tanganyika kilichosemwa jana ndio kipo kichwani mwenu.
 
Trump,Biden wapo kwenye note gani? Siasa za kujipendekeza
 


Hata yeye anajua na machawa wake wanajua kuwa pakiwa na tume huru ya uchaguzi ,pakiwa na katiba mpya inayopunguza madaraka yake ya kimungu kamwe hawezi kuwa Rais wa Zanzibar Wala Tanganyika Wala Zanzibar Wala Oman.

Kwa hiyo kumfanya au kumwita shuiaa mtu aliyeokota Nazi kuwa ni mkwezi ni uchawa TU .
 
Vita maalumu vifutwe, siku atasema mama ake awekwe kwenye sarafu..

Umtoe nyerere uweke samia? Kama ni mwanamke jasiri angewekwa bibi titi..

Sio tu viti maalum, bunge lote thamani na tija yake vimepotea. Ni uwekezaji wa hasara unaoligharim taifa pesa nyingi sana.

Lifutwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…