Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

Kweli maajabu hayatoisha duniani, kwaiyo jina la yesu ndo limewafukuza majambazi? [emoji23]

Alafu hao ni vibaka tu, jambazi gani anapanga mstari kama yupo kwenye gwaride
 
Naamini kama nisingetaja Jina la Yesu, wasingetoka barabarani. Majambazi yaliyokula bange, si yanaona gari linalokuja mbele yao ni kama panya tu!
Ilikuaje wapo bange mkuu
 
Siku hiyo ya tukio, mimi na marafiki zangu wawili tulikuwa tunafanya kazi fulani nyumbani kwangu kuanzia jioni. Kazi hiyo ilikuwa nzito na ilitakiwa iishe siku hiyo hiyo.

mmh!!. mzee baba ulikuwa unafanya kazi gani usiku huo?....ya kuzindika nyumba?. nakushauri uache ushirikina.
 
Naamini kama nisingetaja Jina la Yesu, wasingetoka barabarani. Majambazi yaliyokula bange, si yanaona gari linalokuja mbele yao ni kama panya tu!
Unaandika kama kuna kitu kinakushinikiza kuongea uongo!
 

Jina la Yesu[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Du humu kuna hadithi za pwagu na pwaguzi sina hamu. Jina gani la Yesu iwapo yeye alishindwa kujitetea siku walipomnasa na kumsulubu. Hawakuwa majambazi bali ulikuwa unaota au unatunga mwanangu.
 
Yalikuwa mapepo/majini

Ushukuru Mungu ulipona, wangekuchanganya uangushe gari ufe hapo hapo.

Polee.
 
Jambazi hata kisu hakuwa nacho? Acha fiksi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…